Senegal: Mwalimu wa Madrasa akamatwa kwa tuhuma za Kubaka Wasichana 27

Sheria ichukue mkondo wake
 
Bi. Mkubwa hebu punguza aidha munkari wakutaka kudhihirishia ulimwengu kuwa umjuzi sana ama kilevi endapo unatumia chochote.
Hebu angalia uliemnukuu na kumpa hilo jibu la hapo juu kama ni sahihi.
Nimeongelea kuchapia kwako salamu, unaniandikia mambo ngono.
 
Bibi kumbe na wewe hua una chapia hivi uko shule ulienda kusome ujinga
adalaam ndo nini?
 
Ana umri gani huyo Mwalim? Inabidi watu wa hivi wasihishie kuhukumiwa tu, bali wapimwe na akili pia.

Watu wanaweza kuconclude kwamba ili jambo ni kawaida kwa walim wa madrassa, lakini kumbe ni ugonjwa wa akili ambao upo underrated/ignored.
Ahsante, ni wachache sana wenye maono kama yako bila kuchafua uzi. Vinginevyo ngoja tuone wengine comment zao.
 
Nipo hapa nawasubiri wavatican wakianza kuwapopoa wavaa kobazi
 
KWAKWELI HUU NI UNYAMA JAMANI.

HAWA WATU MBONA NI WANYAMA.

WANAMUIGA MWAMEDI ALIYEKUWA ANATEMBEA NA MTOTO WA MIAKA SITA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…