Senegal: Mwalimu wa Madrasa akamatwa kwa tuhuma za Kubaka Wasichana 27

Senegal: Mwalimu wa Madrasa akamatwa kwa tuhuma za Kubaka Wasichana 27

Bibi kumbe na wewe hua una chapia hivi uko shule ulienda kusome ujinga
adalaam ndo nini?
Mkuu kumbe na wewe unampata eh? Wakikosea wenzie ni shidaaa, ni mtu wa hovyo saaana huyu mmama.
 
Tena bi mdashi ni mdini kupindukia, akili hana kabisa kwa sababu za kidini. Ni mjinga wa mwisho, pia akiingia kwenye thread akiona wenzie wamefanya typing error ataanza kuwarekebisha na kusema shuleni umesomea ujinga? Kisa mtu kukosea tu kutype as if yeye hawezi kosea kutype.
Sio mdini kajawa na chuki kwa kisingizio cha dini. Hana dini anaeijua.

Mwenye dini hawi na chuki na binadamu wenzie ambao hawajamkosea chochote.
 
Back
Top Bottom