Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio haufundishi hivyoAtakuja kusema uislamu haufundishi ivyo ni akili zake binafsi
We kikongwe issue sio alilofanya ni halali au siyo halali katika mazingira ya kisheria!!!! Kwa hyo kama kisheria ni halali vp ktk kwa mwalimu wa madrasa ni halali alichokifanya?Kasome vizuri post namba moja, utakutana na kipande hiki "Ikumbukwe kuwa Ubakaji haukuwa kosa la jinai Nchini humo hadi kufikia mwaka 2020 Serikali ilipoharamisha kwa kutunga Sheria inayohusu vitendo vya Ngono."
Kama ni uongo, mwambie mleta mada.
Huwa sikisii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo senegal tu hata hapa kwetu walimu wa madrasa ni hatari kwa watoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahHawa walimu wa madrasa ni watu wa hovyo sana!
Kuna Mwenetu Moja hv kipindi tukiwa watoto alikua kawaida hakua na misimamo mikali ya mambo ya dini, tulivomaliza la saba matokeo yake hayakua mazur akaenda Namanga kama miaka minne alivorudi hata sisi alituona hatumjui mungu[emoji1787][emoji1787] akawa ameiva sana issue za mtume akienda mahali anahubir kwa kiarabu afu anatafsiri baada akawa mwalimu wa madrasa
Akaja kumlawiti mtoto wa miaka 9, watu walimkamata walimpiga saiv ni mlemavu
Hii dini hata mafundisho yake ukiyadikiliza asilimia 90 ni mambo ya mahusiano na mapenzi. Mbaya zaidi hawana ibada za watoto wanamwaga mambo mazito humohumo. Wao suala la umri wa mtoto hawaangalii, kakiota matiti tu au kuvunja ungo bila kujali umri wao kwao ni demu tayari au mke. Mafundisho ya ajabu Sana alileta huyu mwarabu
Jeshi la Polisi Nchini #Senegal, linamshikilia Mwalimu huyo ambaye amekuwa akitafutwa kwa wiki kadhaa baada ya kuripotiwa kuwafanyia kitendo hicho Wanafunzi wake wa Kike aliokuwa akiwafundisha kusoma Kurani.
Mshukiwa alitoweka baada ya shutuma hizo kuibuka mapema mwaka huu (2023) kufuatia malalamiko kutoka kwa baadhi ya Wazazi wa waathirika kuweka wazi vyeti vya matibabu vilivyoonesha waliingiliwa kimaumbile.
Kwa mujibu wa ripoti, kati ya waliofanyiwa vitendo hivyo ni pamoja na Watoto wenye chini ya miaka 15. Ikumbukwe kuwa Ubakaji haukuwa kosa la jinai Nchini humo hadi kufikia mwaka 2020 Serikali ilipoharamisha kwa kutunga Sheria inayohusu vitendo vya Ngono.
============
A Senegalese Koran teacher suspected of raping 27 of his female students was arrested on Monday after several weeks on the run, a police source said.
The man is accused of assaulting the students at his school in the holy city of Touba in central Senegal, a local police official said.
The suspect went missing after the accusations emerged earlier this year following a complaint from alleged victims who produced medical certificates, the source added.
He was arrested on Monday "after handing himself over to the police. After questioning, he was handed over to the gendarmerie," the official said.
The source said the teacher is accused of "raping 27 students" but did not provide precise details on the dates of the alleged crimes or the age of the complainants.
Local media reported that the alleged victims were "minors", implying they were under 15, and that the Koranic school has been closed.
The newspaper "Le Jour" wrote last week that the affair came to light when one of the girls refused to return to the school, where students learn about Islamic teachings, because the teacher "had sexual relations with her and all the other girls".
Touba is considered a holy city by the Mourides, a major Islamic brotherhood in the Muslim-majority West African country.
The arrest comes after opposition figurehead Ousmane Sonko was sentenced to two years in jail for inciting a young woman to "debauchery", although he was cleared of a rape charge.
Sonko's legal battles over the rape allegations had captured media attention for two years, but the issue of sexual violence faded into the background as the affair became increasingly politicised.
Senegal criminalised rape in 2020.
NATION
Mbn unacheka chaliang[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Bas tyuuhMbn unacheka chaliang
Usikute ni ndugu Yako🤣🤣🤣hapo unawaza atakua ni nan huyu alieleta ushuhuda humuBas tyuuh
Tena bi mdashi ni mdini kupindukia, akili hana kabisa kwa sababu za kidini. Ni mjinga wa mwisho, pia akiingia kwenye thread akiona wenzie wamefanya typing error ataanza kuwarekebisha na kusema shuleni umesomea ujinga? Kisa mtu kukosea tu kutype as if yeye hawezi kosea kutype.Bi. Mkubwa hebu punguza aidha munkari wakutaka kudhihirishia ulimwengu kuwa umjuzi sana ama kilevi endapo unatumia chochote.
Hebu angalia uliemnukuu na kumpa hilo jibu la hapo juu kama ni sahihi.
Nimeongelea kuchapia kwako salamu, unaniandikia mambo ngono.