Tena bi mdashi ni mdini kupindukia, akili hana kabisa kwa sababu za kidini. Ni mjinga wa mwisho, pia akiingia kwenye thread akiona wenzie wamefanya typing error ataanza kuwarekebisha na kusema shuleni umesomea ujinga? Kisa mtu kukosea tu kutype as if yeye hawezi kosea kutype.