Senegal: Vyama vya Upinzani vyaitisha maandamano baada ya Kiongozi wao kuhukumiwa kifungo cha miezi 6

Senegal: Vyama vya Upinzani vyaitisha maandamano baada ya Kiongozi wao kuhukumiwa kifungo cha miezi 6

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
05senegal-videoSixteenByNine3000.jpg

Muungano wa Vyama vya Upinzani Nchini #Senegal umeitisha maandamano hayo siku moja baada ya Mahakama kumuongezea muda wa kifungo #OusmaneSonko kutoka miezi 2 hadi 6 kwa madai ya kumtukana Waziri wa Utalii Mame Mbaye Niangtou.

Kwa mujibu Vyama hivyo, maandamano yanalenga kupinga uamuzi wa Mahakama unaotajwa kutaka kumzuia Sonko kugombea Urais dhidi ya Rais #MackySall katika Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Februari 25, 2024.

Mwaka 2021 Wapinzani waliitisha maandamanao makubwa Nchini humo baada ya Sonko kupewa mashtaka ya Ubakaji na Kutoa Vitisho vya Kuua dhidi ya Mhudumu wa Saluni ya Kike.
===============

A coalition of opposition parties in Senegal says it will stage protest rallies over what it says is a move to block one of its leaders, Ousmane Sonko, from standing in presidential elections, following his conviction in a defamation case.

On Monday an appeals court increased Mr Sonko's suspended prison sentence from two to six months for defaming Tourism Minister Mame Mbaye Niangtou.

He's also facing trial later this month for alleged rape and death threats over a complaint filed by an employee at a beauty salon.

He says the accusations are politically motivated. The government denies this.

In 2021, the rape charge against him provoked riots against the current president Macky Sall, in which at least 12 people died.

BBC
 
Back
Top Bottom