Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

Morocco has made history to be the first country to win AFCON through VPN
 
Mzee aliniambia ogopa sana hawa wanaolazimisha kutunza taarifa Online.

Muda wowote wakitaka kuziedit wanafanya yao na historian inaandikwa upya tunza sana nakala zako zinazosikika.
 
Upuuzi mtupu, kwahiyo Morocco atafanya parade la ushindi wa kishindo? No emotional feelings kabisa ya hilo kombe.
 
Kwa tukio hil ni dhahiri bara la Afrika bado halijajitawala.
 
Write your reply... walishapewa ushind, wasingebadil ten kama ni makosa yangeonekana wakat wa mchezo, inauma san kusheherekea ushindi alaf baada ya mda kuporwa !!!
 
Ningekubaliana na uamuzi huo kama Senegal wasingerudi kabisa uwanjani, na Refa akapiga kipenga kuashiria mwisho wa mchezo. Hata kama Senegal wangekuwa wanaongoza, baada ya kipenga hicho wangestahili kupokonywa ushindi. Lakini ilivyotokea ni kwamba Senegal walitoka nje; baadaye wakajitafakari na kuamua kurudi uwanjani; Refa akakubali kujirudi kwao na mchezo ukaendelea. Sana sana Senegal wangeadhibiwa kwa kupoteza muda; lakini ushindi wao unabaki palepale. Tulioangalia mchezo tuliona kabisa kwamba Senegal walishinda mchezo uwanjani; lakini mezani Morocco wamepewa ushindi. Ni sawasawa na mwanafunzi anashindwa mtihani, mwalimu anampa zero. Halafu Wizara ya Elimu inasema mwanafunzi huyo alishinda na inampa maksi 80 kwa mia. Ushindi huo ni batili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…