😄Kwani Senegal wakisema kombe limepotea au limeibiwa
Africa Kuna mambo ya kifala sana Kuna wakati unajuta hata kuzaliwa kwenye hii Ardhi ya AfricaAma kweli africa kuna maajabu mengi! na hili nalo ni moja ya maajabu yanayopatikana africa.
Bora wasusie life tuKuna timu za Uiaya zilikuwa zinagoma na walitusema kabisa wachezaji wasiruhusiwe kuja maana hilo kombe halina heshima yoyote kwa sasa na kweli sasa imekuwa kama walivyotabiri. Na bado maajabu yataendelea utasikia baadhi ya Nchi zitzlisusia hilo kombe.
Sio fair kabisa hii Mutsepe na Frantino wamejiharibia, ndio maana Frantino comment yake kwanza ni kushusha rungu kwa Senegal sio Morocco kulikua na namna walichotaka ni Morocco wachukue hilo kombe hata kwa ushindi wa Mezani, hio Mechi niliangalia mwanzo mwisho, mpira nao umeanza kufanyiwa mambo ya kihunihuni
Refa angemaliza mechi palepale walipotoka tu uwanjani! Guiltiness ya refa ndio imefanya mechi ikaendelea alijiona yeye ndio ana makosa!Makosa ni wao Senegal kuondoka uwanjani
fisi hadhiriwi bucha mjuba, Ile ni biashara nono ukidhira kushiriki michuano yao utadoda hutafanya biashara ya mpiraKilichobaki ni kususia mashindano yote ya CAF wacheze waaarabu wenyewe kwa wenyewe
Imam shafii
Oya unazingua dogo semenya.
huna uwezo huoKuanzia leo nimeachana na mambo ya mpira ni mimi na cartoon tu.
Wanachama waitishe kikao, huyu akataliwe. Amehongwa na waarabuAibu kubwa kwa bara zima la Afrika.
Motsepe ajuzulu ili angalau kuipa heshima CAF
Labda hamkukata rufaaMbona na sisi YANGA walitufanyia uhuni kipindi cha nyuma? Mbona hawakubatilisha?
Ila unatuangusha sana wagalatia kwa kuiunga mkono Iran.Inapaswa mataifa yenye nguvu ya ushawishi kwenye mpira wa Africa like Senegal Cameroon Ghana Nigeria Cote D'Ivoire wasusie hayo mashindano ili yakose mvuto Caf wapate hasara
Manaa yakikosa mvuto watakosa wadhamini pia Hiyo league ita collapse, yaani nikiona team hizo zinapeleka team Tena uwanjani nitawaona kuwa ni mafala na ******* wakutupwa , it seems like Commoros walipo andaa haya mashindano maybe Caf walikuwa hawana pesa ya kuhost hayo mashindano morroco Waka dhamini baadhi ya mambo in return wapewe ushindi wao
So kilicho tokea Kika wasuprise Mwisho wa siku Morocco wakaenda kudai pesa zao Kwa motsepe
Binafsi niliachana ushabiki wa masuala ya mpira kitambo sana Kwa sababu kama hizi
Unaamua kuwapa moyo wa matumaini watu ili wakuamulie uwepo wa furaha Yako halafu wao wanachezea hisia zako Kwa kupanga matokeo huo ni uzwazwa wakati huo umekaa ukiamini kwamba hii michezo Huwa inakuwa fair thubutuuu, !!! Binaadamu ni kiumbe Cha tamaa kumuamini unajitakia matatizo tu