Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Kwa hiyo unategemea rais wa Senegal atawaambia wachezaji warudishe zawadi?Sasa kama walikabidhiwa zawadi za ubingwa itakuwaje? Na rais wa senegal alishatoa na viwanja kama zawadi kwa ubingwa huo itakuwaje?
Mi nilikuwa tu huu ubingwa ni WA Morocco lakini sikuwaambia tu humu kwa maana nilijua tu mngeshuoaza shingo zenu na ningezivunja.
Mzee Malecela amewahi kusema kwamba matokeo ya mechi yakibatilishwa, kwa sababu yoyote ile, hakuna haja ya timu fulani kupewa ushindi wa juu ya meza. Mtanange upigwe upya ili mshindi apatikane more objectively!Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa.
Senegal ilikuwa imeshinda mechi hiyo huku Pape Gueye akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza, lakini ushindi huo ulipatikana katika mazingira yenye utata baada ya wachezaji wa Senegal kutoka nje ya uwanja wakigoma wakati wa dakika 90 za kawaida za mchezo.
Walikwazwa na maamuzi mawili, la kwanza likiwa ni kukataliwa kwa bao la Ismaila Sarr, kabla ya Morocco kutunukiwa mkwaju wa penalti katika dakika za lalasalama kufuatia kuingilia kati kwa mtambo wa VAR.
CAF imetoa uamuzi rasmi wa kuipatia Morocco ushindi wa fainali kwa njia ya forfeit, kwa mabao 3-0.
Soma: FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa
Inaripotiwa kuwa malalamiko mengi ya Morocco yamekubaliwa, huku baadhi ya faini na adhabu zao zikipunguzwa.
Hii ina maana kwamba Morocco sasa ndio mabingwa wa AFCON 2025.
Zaidi kuhusu AFCON
=====
- CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025
- CAF yamwadhibu kocha wa Senegal β Pape Thiaw
Africa Cup: CAF strip Senegal of the title, hand it to Morocco
In an unprecedented turn for continental football, the Confederation of African Football (CAF) has declared Morocco as the new champion of the 2025 Africa Cup of Nations. The Appeals Committee decided to annul the original result of the final after upholding the appeal filed by the Moroccan federation against Senegal.
The Cup is taken away from Senegal
The resolution is based on the application of articles 82 and 84 of the regulations. The CAF ruled that the behavior of the Senegal team constituted a serious infringement, declaring their defeat by administrative "no-show." Consequently, the official score of the match has been set at 3-0 in favor of Morocco, awarding them the title at the desks.
Morocco's complaints were mostly upheld, while some of their fines and punishments were reduced.
Sanctions and fines for both teams
The ruling also included additional disciplinary measures. Moroccan player IsmaΓ«l Saibari received a two-match suspension, although a $100,000 fine was withdrawn. Meanwhile, the Moroccan federation must pay various reduced fines for incidents with ball boys and the use of lasers during the tournament.
A historic and shocking ending to the tournament!
Motsepe ni Mata.... sanaTatizo ni umoja,watu hawana umoja sababu ya njaa zao
Hayo mashindano hayana mvuto kama timu za West Africa zikisusuia, yanakufa kabisa, wabaki hao waarabu wanne algeria morocco , Egypt na Tunisia wacheze wenyewefisi hadhiriwi bucha mjuba, Ile ni biashara nono ukidhira kushiriki michuano yao utadoda hutafanya biashara ya mpira
Tit for tat. Na Senegal wamesema hawarudishi kombe ng'o; liwalo na liwe.Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa.
Senegal ilikuwa imeshinda mechi hiyo huku Pape Gueye akifunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza, lakini ushindi huo ulipatikana katika mazingira yenye utata baada ya wachezaji wa Senegal kutoka nje ya uwanja wakigoma wakati wa dakika 90 za kawaida za mchezo.
Walikwazwa na maamuzi mawili, la kwanza likiwa ni kukataliwa kwa bao la Ismaila Sarr, kabla ya Morocco kutunukiwa mkwaju wa penalti katika dakika za lalasalama kufuatia kuingilia kati kwa mtambo wa VAR.
CAF imetoa uamuzi rasmi wa kuipatia Morocco ushindi wa fainali kwa njia ya forfeit, kwa mabao 3-0.
Soma: FT: Senegal 1-0 Morocco | AFCON 2025 | Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah | Jan 18, 10:00 PM | Senegal yatwaa Ubingwa
Inaripotiwa kuwa malalamiko mengi ya Morocco yamekubaliwa, huku baadhi ya faini na adhabu zao zikipunguzwa.
Hii ina maana kwamba Morocco sasa ndio mabingwa wa AFCON 2025.
Zaidi kuhusu AFCON
=====
- CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025
- CAF yamwadhibu kocha wa Senegal β Pape Thiaw
Africa Cup: CAF strip Senegal of the title, hand it to Morocco
In an unprecedented turn for continental football, the Confederation of African Football (CAF) has declared Morocco as the new champion of the 2025 Africa Cup of Nations. The Appeals Committee decided to annul the original result of the final after upholding the appeal filed by the Moroccan federation against Senegal.
The Cup is taken away from Senegal
The resolution is based on the application of articles 82 and 84 of the regulations. The CAF ruled that the behavior of the Senegal team constituted a serious infringement, declaring their defeat by administrative "no-show." Consequently, the official score of the match has been set at 3-0 in favor of Morocco, awarding them the title at the desks.
Morocco's complaints were mostly upheld, while some of their fines and punishments were reduced.
Sanctions and fines for both teams
The ruling also included additional disciplinary measures. Moroccan player IsmaΓ«l Saibari received a two-match suspension, although a $100,000 fine was withdrawn. Meanwhile, the Moroccan federation must pay various reduced fines for incidents with ball boys and the use of lasers during the tournament.
A historic and shocking ending to the tournament!
Kafanyaje huyo mwehu ?Oya unazingua dogo semenya.
Anazingua tu.Kafanyaje huyo mwehu ?
Makosa ni ya Refa kutomaliza mechi.Makosa ni wao Senegal kuondoka uwanjani