Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa dola Bilioni 9 kwa Israel na Ukraine. Wengine watishwa wasiisaidie Hamas hata senti

Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa dola Bilioni 9 kwa Israel na Ukraine. Wengine watishwa wasiisaidie Hamas hata senti

Ukraine wamepigana mpaka wameisha na zan zimewaishia.Urusi hajarudi nyuma hata maili moja.
Gaza wameshauliwa kiasi hicho Seneti inaona haitoshi bora wamalizwe kabisa.
kuwa muislam inahitaj ujipunguze akili
 
Kule kwa ukraine hakuna jipya litakalo tokea Russia ataendelea kumega maeneo zaidi na zaidi
Na pale israhell si ndio wale taifa teule ambalo halishindiki sasa hii misaada inakuaje kuaje tena dhidi ya wana mgambo tuuu israhell ilikua over-rated sana ila jamaa wakawaida sanaaaaaaaa
ukraine ni kubwa kias gan mpk saaa Urusi awe hajamaliza kujimegea Ukraine ?
 
zilizopitishwa ni dola bilioni 95 moderator kabadili na kuwa dola bilioni 9 tu.
The Senate passed a $95.3 billio
 
lakini situliambiwa kuwa israel wana kila kitu. Inakuwaje tena hadi misaada kwa kikundi cha wanamgambo
watumiao machine gun na parachutes.

Hukunaga vita ndogo hasa ukiakua kudeal na magaidi ya kidini. Mayahudi ni taifa teule acha wafutilie mbali magaidi hamas
 
Hukunaga vita ndogo hasa ukiakua kudeal na magaidi ya kidini. Mayahudi ni taifa teule acha wafutilie mbali magaidi hamas
siyo acha taifa teule sijui nye nye nye
usirembe maneno.
sema taifa teule kwa kusaidiwa na marekani wanapamba na kikundi cha magaidi
 
siyo acha taifa teule sijui nye nye nye
usirembe maneno.
sema taifa teule kwa kusaidiwa na marekani wanapamba na kikundi cha magaidi
Usiseme kikundi cha magaidi.Sema kikundi kidogo cha wapigania uhuru kinachopigana na taifa kubwa linalosaidiwa na mataifa makubwa mengine.
 
Toka aanze kutoa misaada Kuna Nini kilichobadilika?
Kwa Ukrean kuna faida kubwa sana, Russia alikuwa tayari ashaiteka Kyiv kila pembe sasa wameweza kufurushwa hadi wamebaki bahari nyeusi wanarusha rusha missiles tu kuangusha nyumba za raia, naka unafuatilia vizuri saivi moto unawaka Moscow ambapo Putin alisema ikishambuliwa Moscow atatumia nuclear boms maana alitaka urusi isiguswe aogopewe sasa habari ni nyengine
 
Kule kwa ukraine hakuna jipya litakalo tokea Russia ataendelea kumega maeneo zaidi na zaidi
Na pale israhell si ndio wale taifa teule ambalo halishindiki sasa hii misaada inakuaje kuaje tena dhidi ya wana mgambo tuuu israhell ilikua over-rated sana ila jamaa wakawaida sanaaaaaaaa
Kwa Ukrean kuna faida kubwa sana, Russia alikuwa tayari ashaiteka Kyiv kila pembe sasa wameweza kufurushwa hadi wamebaki bahari nyeusi wanarusha rusha missiles tu kuangusha nyumba za raia, naka unafuatilia vizuri saivi moto unawaka Moscow ambapo Putin alisema ikishambuliwa Moscow atatumia nuclear boms maana alitaka urusi isiguswe aogopewe sasa habari ni nyengine na Israel ndio mwiso wa taifa lao la mchongo wewe jiulize swali dogo kwanini Israel wanafadhiliwa kiasi hicho na walisema Hamas ni kikundi kiduchu watakiangamiza labda siku 1 au 2,
 
Back
Top Bottom