Senetor wa jiji la Nairobi, Mike Sonko amwaga vyeti vyake mezani watu wa media wavione

Huyu wa Kwetu ameshindwa nini kumaliza huu mchezo? Ona sasa yameshaibuka na mengine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yule kilaza msukuma maarufu kama Bashite akiiona hii lazma atasema "wakenya na wauza madawa ya kulevya wameungana ila sitishiki na kitu mungu yupo na mimi"
 
Kilaza wa kuzungusha bongo yeye anaegemea vyeo vya uteuzi. Sonko amechaguliwa na wananchi na amewajibika

Bashite muunge mkono Maghufuli kwa kuonyesha vyeti bhaaana
 

receipt?!
 
Yule kilaza msukuma maarufu kama Bashite akiiona hii lazma atasema "wakenya na wauza madawa ya kulevya wameungana ila sitishiki na kitu mungu yupo na mimi"
Yeye mwenyewe anashirikiana na wauzaji wa madawa ya kulevya
Seneta wa Jiji la Nairobi, Mike Sonko amaliza utata kwa waliomsema kuwa hana vyeti kwa kutoa vyeti vyake vyote hadharani.
 
Sio ajabu wala sio kazi kufanya hivyo. Kama watu walikuwa na mashaka na elimu yake bora amewathibitishia kuwa yupo vizuri
 
Lakini bashite ana roho ngumu kama ya paka anastahili tuzo ya kuwa mwenye kichwa ngumu duniani.
 
Mtoa umejaa umbea,ya wakenya yanakuhusu nini?Kama unawapenda sana hamia kwao.
 
Atatoa amri sio vyeti.....cheti anacho kimoja tu ambacho ndio chake. Pia ameiba jina la watu
 


Mkuu wetu wa mkoa aige mfano bora wa Gavana wa nairobi.Baada ya kuandamwa kuhusu elimu yake Gavana huyo aliingia kabatini na kuweka vyeti vyake vyote hadharani.Tendo hilo lilimaliza utata na wapinzani wake kisiasa kukaa kimya.
Bashite AKA Makonda fuaata nyayo hizo weka vyeti mezani mjadala uishe na uwe mshindi.La sivyo mpaka unaenda kaburini watu watahitaji vyeti tu.Iwe usiku,Mchana,Jioni,Mvua inyeshe,Jua liwake watu wataka vyeti mezani.Iga mfano wa mwenzako kenya hapo tena nyadhifa zenu ni sawa kabisa.
 
Huyu wa kwetu vyeti vyake ni vizito sana hawezi kuvibeba akaleta tuvione?
 
huyo Sonko ni kiherehere tu. ni uso wa mbuzi tu ajikaushe
 
RC aige mfano... ili hiz kelele ziishe , aweke vyeti.. tuendelee na mambo mengine ya muhim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…