Senetor wa jiji la Nairobi, Mike Sonko amwaga vyeti vyake mezani watu wa media wavione

Mike sonko tusha mzoea kwa kutafuta kiki ngoja mbabe wake gavana wa Mombasa ALLY HASSAN JOHO aje kumpa live.
 
Na bado atazidi kuwanyoosha

Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.

Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa

Makonda oyeeeeeee
Unahangaika bure kujitetea hapa Bashite! Kwanini unakuwa mshamba kiasi hiki? Unatangaza watu kuwa wanahusika na madawa ya kulevya kumbe nia yako ni ili wakuhonge magari? Umejiaibisha sana na ninakuhakikishia kama mkuu atakuacha kwa aibu hii ya kuivua nguo serikali wananchi wenyewe watashughulikia kama kibaka-your days are numbered!
 
...... Narudia Makonda siyo mwanasiasa ndio maana hawezi onyesha vyeti vyake .....

Mkuu hufahamu kama u-RC ni cheo cha kisiasa? Nina wasiwasi na ufahamu wako.
 
Na bado atazidi kuwanyoosha

Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.

Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa

Makonda oyeeeeeee
Mkuu VP uko kwenye siku zako angalia bwana utatuchafulia hali ya hewa
 
Unakumbuka ya mkurugenzi wa Halmashauri moja nchini siku ya kula kiapo ikulu vyeti vilionyeshwa hadharani mkuu tuweni na kumbukumbu
 
Unakumbuka ya mkurugenzi wa Halmashauri moja nchini siku ya kula kiapo ikulu vyeti vilionyeshwa hadharani mkuu tuweni na kumbukumbu

Ndio tunakumbuka....lakini kwanini wasimuumbue huko mahakamani....ambapo atahukumiwa kwa mujibu wa sheria....!???

Mimi nadhani hii ndio sababu mujarabu ya kumuondoa huyo Makonda kwenye nafasi yake
 
Na bado atazidi kuwanyoosha

Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.

Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa

Makonda oyeeeeeee
bampa to bampa poleni sana kumbe ndo anataka utajiri wa nguvu
[HASHTAG]#tunatakavyetivyetu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#freemanji[/HASHTAG]
 
Kesho naita press conference kuonesha cheti changu cha kuzaliwa , na kitqmbulisho cha mpiga kura,
 
Mwacheni ajivunie mali akitimuliwa ghorofa lake atamaliziaje
 
Bashite hana vyeti alipiga Bashite yenye masikio.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…