Pre GE2025 Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, CCM wanaweza kufanya hivyo 2025?

Pre GE2025 Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, CCM wanaweza kufanya hivyo 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic wanamuonyesha Upendo feki tu.
Hakuna wa kuthubutu wee subili muda ufike njaaa mbaya sana haya yanawezekana tu Chadema si unamuona MCH msigwa walichomfanyia Wana Nyasa.
 
Back
Top Bottom