GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 21, 2024 #1 Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025? Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024 Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic wanamuonyesha Upendo feki tu.
Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025? Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024 Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic wanamuonyesha Upendo feki tu.
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Jul 21, 2024 #2 Mkuu hulali?
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 21, 2024 Thread starter #3 Vesper-valens said: Mkuu hulali? Click to expand... Kwangu sasa ndiyo Kumekucha na leo nina Furaha sana tu Mkuu kwani kuna Wapuuzi Wawili Mtu Fudenge Kawafyeka.
Vesper-valens said: Mkuu hulali? Click to expand... Kwangu sasa ndiyo Kumekucha na leo nina Furaha sana tu Mkuu kwani kuna Wapuuzi Wawili Mtu Fudenge Kawafyeka.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Jul 21, 2024 #4 GENTAMYCINE said: Kwangu sasa ndiyo Kumekucha na leo nina Furaha sana tu Mkuu kwani kuna Wapuuzi Wawili Mtu Fudenge Kawafyeka. Click to expand... Trab na Trat amshukuru mganga wake
GENTAMYCINE said: Kwangu sasa ndiyo Kumekucha na leo nina Furaha sana tu Mkuu kwani kuna Wapuuzi Wawili Mtu Fudenge Kawafyeka. Click to expand... Trab na Trat amshukuru mganga wake
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 4,236 Reaction score 5,907 Jul 21, 2024 #5 GENTAMYCINE said: Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic wanamuonyesha Upendo feki tu. Click to expand... Hakuna wa kuthubutu wee subili muda ufike njaaa mbaya sana haya yanawezekana tu Chadema si unamuona MCH msigwa walichomfanyia Wana Nyasa.
GENTAMYCINE said: Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic wanamuonyesha Upendo feki tu. Click to expand... Hakuna wa kuthubutu wee subili muda ufike njaaa mbaya sana haya yanawezekana tu Chadema si unamuona MCH msigwa walichomfanyia Wana Nyasa.