SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

We mpange tu huyo mdhamini wako basi, wao hawamjui wala hawajui wasifu wake.
Kama ikitokea akapigiwa simu basi awe anajua kilichotokea.

Usicomplicate maisha ivo kijana hizo mambo wala hawazingatii kiivo, unajipa tabu wakati hiko ni kitu kidogo sana.
 
Motivesheno spika.
Acha vijana wapambanie fursa.

Mwisho kabisa acha dharau.
 
Hivi ukitaka kuomba kwenye mtandao unatakiwa kuombea eneo ulilopo au unaweza kuombea popote pale na uka submit hiyo form,mfano mimi niko Dar kwa muda naweza kuomba hiyo kazi mtandaoni kwa kazi ya kufanyia Kilombero...?

Mwaisa naona unajaribu kuepuka competition maeneo fulani
 
Mnaomba hiyo kazi Wala hamjui mtalipwa sh ngapi nikujisumbua tu
 
Wabongo mna DNA za WIVU, CHUKI, ROHO MBAYA na UNAFIKI.

Hapa unakuta JITU limeomba lakini linajifanya hiyo kazi haliwezi kufanya, malipo kidogo.

Stupid
Unataka tu nikutukane ufurahi na roho yako tafuta hela nyingi hizo zitakutia umasikini tu ulionao uendelee kuwa nao milele daima
 
Akili mgando hizi, sasa dharau inakusaidia nini ndgu!??

Acha dharau.
Ni maneno ya mkosaji, hakuna mtu mwenye hela anayeweza kutumia maneno kama yako.

Omba kazi ya sensa uje kuzurura nyumbani kwangu nikupe data za uongo ukaendeleze umasikini wako
 
Ni maneno ya mkosaji, hakuna mtu mwenye hela anayeweza kutumia maneno kama yako.

Omba kazi ya sensa uje kuzurura nyumbani kwangu nikupe data za uongo ukaendeleze umasikini wako
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Maneno gani hayawezi kutumiwa na mwenye hela!??

Mkuu we mwenyewe tia maji tia maji tu, ungekua na hela wala usingewaza kuanza kujibishana na mini kuhusu kua na hela.

Acha dharau, ndio maana hufanikiwi shauri yako 😁😁
 
Haina haja ya kubadili hapo ila kama unahitaji njoo nikupe mbinu ya ku edit hapo pm
 
Ohooo! Nakupa ushauri kimasikhara tu nilikuwa masikini kama wewe kwa kuomba omba vikazi vya kipumbavu kama hivyo.

Kuna wanawake zaidi ya elfu 1 kwenye group la watu elfu 7 Telegram wanameomba hizo ajira na asilimia kubwa ni walimu wa idara zote mbili hawa wana muda wa kufanya hili ndio maana wengi wao makapuku.

Stuka wewe
 
Wewe jamaa ni mwalimu kama sio basi basi kazi yako inashabihiana na hiyo.
Mshahara wako(kama unao kweli) hauzidi laki 6 na haupungui laki 2.

Sikujui ila kwa hizi ngonjera zako we ni kapuku.
Ila pia kuna asilimia 55 zinaniambia wewe ni jobless.

Pesa ina tabia ya kujitangaza huwa haitangazwi.
 
Pakua form nyingine ujaze then utafuta ile uliyoi upload.
 
Hizi ni dalili za umasikini mkubwa uliopo katika jamii yetu, ajira yenyewe ya muda inakuwa na mkanganyiko mkubwa na usumbufu mkubwa huku waombaji wakiwa wengi kuliko idadi ya wanaohitajika
Indeed
Mi hata sijajihangaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…