kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Nimeshafanya mambo ya kiufundi tayariUlitakiwa uziingize hizo fomu kwenye pdf moja then upload
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshafanya mambo ya kiufundi tayariUlitakiwa uziingize hizo fomu kwenye pdf moja then upload
Motivesheno spika.Wewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.
Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)
Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi
Achana na masensa wewe
Hivi ukitaka kuomba kwenye mtandao unatakiwa kuombea eneo ulilopo au unaweza kuombea popote pale na uka submit hiyo form,mfano mimi niko Dar kwa muda naweza kuomba hiyo kazi mtandaoni kwa kazi ya kufanyia Kilombero...?
Tumeangalia bajeti ya fedha iliyotengwa kwaajili ya kuendesha zoezi hilo [emoji383]Mnaomba hiyo kazi Wala hamjui mtalipwa sh ngapi nikujisumbua tu
Dharau ninazo kwa sababu huna hela wewe kaombe ajira hukoMotivesheno spika.
Acha vijana wapambanie fursa.
Mwisho kabisa acha dharau.
Unataka tu nikutukane ufurahi na roho yako tafuta hela nyingi hizo zitakutia umasikini tu ulionao uendelee kuwa nao milele daimaWabongo mna DNA za WIVU, CHUKI, ROHO MBAYA na UNAFIKI.
Hapa unakuta JITU limeomba lakini linajifanya hiyo kazi haliwezi kufanya, malipo kidogo.
Stupid
Akili mgando hizi, sasa dharau inakusaidia nini ndgu!??Dharau ninazo kwa sababu huna hela wewe kaombe ajira huko
Fika Dodoma wana ofisi zao Ilazo hawana habari za mtu wa kati.Hi,mimi ni IT Technician (Diploma) huo mchongo nimeuelewa naomba maelekezi zaidi. Nawezaje ku-apply mkuu? Shukran.
Ni maneno ya mkosaji, hakuna mtu mwenye hela anayeweza kutumia maneno kama yako.Akili mgando hizi, sasa dharau inakusaidia nini ndgu!??
Acha dharau.
Itakuwa ni pesa ndogo tu kwa kuwa serikali imekuwa na zoezi linalofanana na hili kwa mwaka huu tayari hamna hela za mchezo.Kwani hii sensa wanalipwa shilingi ngapi?
😀😀😀 Maneno gani hayawezi kutumiwa na mwenye hela!??Ni maneno ya mkosaji, hakuna mtu mwenye hela anayeweza kutumia maneno kama yako.
Omba kazi ya sensa uje kuzurura nyumbani kwangu nikupe data za uongo ukaendeleze umasikini wako
Hahahahahaha.... Data za uongo...Ni maneno ya mkosaji, hakuna mtu mwenye hela anayeweza kutumia maneno kama yako.
Omba kazi ya sensa uje kuzurura nyumbani kwangu nikupe data za uongo ukaendeleze umasikini wako
Ohooo! Nakupa ushauri kimasikhara tu nilikuwa masikini kama wewe kwa kuomba omba vikazi vya kipumbavu kama hivyo.😀😀😀 Maneno gani hayawezi kutumiwa na mwenye hela!??
Mkuu we mwenyewe tia maji tia maji tu, ungekua na hela wala usingewaza kuanza kujibishana na mini kuhusu kua na hela.
Acha dharau, ndio maana hufanikiwi shauri yako 😁😁
Wewe jamaa ni mwalimu kama sio basi basi kazi yako inashabihiana na hiyo.Ohooo! Nakupa ushauri kimasikhara tu nilikuwa masikini kama wewe kwa kuomba omba vikazi vya kipumbavu kama hivyo.
Kuna wanawake zaidi ya elfu 1 kwenye group la watu elfu 7 Telegram wanameomba hizo ajira na asilimia kubwa ni walimu wa idara zote mbili hawa wana muda wa kufanya hili ndio maana wengi wao makapuku.
Stuka wewe
Pakua form nyingine ujaze then utafuta ile uliyoi upload.SENSA 2022.
Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza.
nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini inaleta nifanye editing ya sehemu inizoja ambazo ziko sahihi ilhali sehemu niliyokosea haileti.
FORM niliyoijaza ya maombi ya kazi ya sensa 2022 ina sehemu tatu yaani sehemu A ni kujaza taarifa zangu binafsi, sehemu ya B ni kijaza taarifa za wadhamini wawili na sehemu C ni kujaza taarifa au viambatanishi vya vyeti.
Sasa nikienda sehemu ya KUHUISHA taarifa kwa ajiri ya kufanya marekebisho ya majina mdhamini, zinatokea sehemu mbili tu yaani sehemu A na sehemu C ambazo zimejazwa kwa ufasaha Ila sehemu B haionekani kwa aijri ya KUHUISHA taarifa ya Wadhamini ambazo nimekosea, nahitaji kufanya marekebisho.
USHAURI WANGU, nikipakuwa form hiyo harafu nikaifanyia marekebisho form kwa kufuta na correction pen na kuandika majina kwa ufasaha kwa mkono harafu nika pakia form mtandaoni, je nitakuwa nimekosea? maana nimewapigia simu huduma kwa wateja wao nao wananambia labda kuna shida ya mtandao kwenye mfumo wao na hawajui wanisaidiaje na muda wa kutuma maombi unakaribia kuisha.
IndeedHizi ni dalili za umasikini mkubwa uliopo katika jamii yetu, ajira yenyewe ya muda inakuwa na mkanganyiko mkubwa na usumbufu mkubwa huku waombaji wakiwa wengi kuliko idadi ya wanaohitajika