MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,254
- 2,715
Hali ni ngumu mkuu. Mungu wetu awasaidie vijana wanaopambana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ni ngumu mkuu. Mungu wetu awasaidie vijana wanaopambana.
Hii inimeona ITV jana, baadhi ya Mawaziri wakiwa makwao walikozaliwa wakielezea walivyohesabiwa na familia zao.Leo ilikua siku ya kuhesabu viongozi tu ili watupie picha mitandaoni unajua wapo busy sana inabidi nchi isimame ili viongozi wahesabiwe, nyie zamu yenu itafika next week.

wakati wengi walipitishwa tu hata kusoma na kuandika hawajuiMiaka kumi ijayo wenyeviti wa mitaa wafanye zoezi hili la kuhesabu watu na makazi wanaweza kufanya vizuri zaidi.