Sensa 2022: Zoezi linavyoendelea na yanayojiri

Leo ilikua siku ya kuhesabu viongozi tu ili watupie picha mitandaoni unajua wapo busy sana inabidi nchi isimame ili viongozi wahesabiwe, nyie zamu yenu itafika next week.
Hii inimeona ITV jana, baadhi ya Mawaziri wakiwa makwao walikozaliwa wakielezea walivyohesabiwa na familia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…