Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

Ndizo siasa zenyewe tunazozisema..... Hizo data hazitasaidia chochote maana baada ya mwaka zinakuwa obsolete..
 
Acha kupinga usichokijua. Ungeuliza kwanini hizo data zinahitajika kwa taifa.
 
Kwanza siku hizi kila kifo kinawekwa kwenye rekodi, either upate burial permit kutoka hosptitalini au mjumbe akujazie form maalumu ambazo wamepewa..

Tatizo wanaopinga ninachokisema wengi ni machalii ambao hata hawajui mtaani wanakoishi mambo kama.haya yanaendeshwa vipi.
 
Acha kupinga usichokijua. Ungeuliza kwanini hizo data zinahitajika kwa taifa.
Ni wapi nimepinga? Hakuna mahali nimepinga bali nimesema ni maswali mfu ambayo ndani ya muda mfupi yanakuwa out of date.
 
Huna taaluma ya takwimu, lakini pia haya mambo yako juu ya uelewa wako. Kaa kwa kutulia takwimu zichukuliwe.

Ukisema kila kitu ni obsolete, hata kuhesabu watu itakuwa useless, maana mtu kahesabiwa tarehe 23 august na huyo huyo mtu kafariki trh 24 august. Maana yake kwa mawazo yako, ilikuwa useless kumuhesabu.
 
Sensa za nchi nyingi duniani, umechunguza ukajua wanauliza nini? Au umekurupuka tu.
 
Hii sensa ni ya watu na makazi, hayo mambo mengine ya nini?

Kwa nini mamlaka zinazohusika zisidili na majukumu yao?
Sensa ya watu na makazi? Ikimaanisha hao watu hawaishi kisiwani wanatumia simu, wanafuga mbuzi, Wanamiliki biashara n.k so ukishajua hayo "mambo mengine" ni rahisi kuandaa sera nzuri za kuwasaidia hao watu.

Mfano kama kwenye mahojiano ukagundua 70% hawana simu, Ina maana Serikali itashusha Kodi Ili simu ziuzwe Bei chini n.k sasa utasemaje hayo "mambo mengine" hayana maana
 
Shenzi zako wewe, kwani hili zoezi ni tafiti?
Census mbona ni sampling method ya Tafiti!! Yaani badala ya kuchukua sample ya watu elfu 5 kama wanavyofanyaga Twaweza Hawa NBS wamechukua Population nzima so ni tafiti hii.

Haya mambo ndio maana nimesema muachie wataalam, reliability or validity of instruments used in surveys pass through the same level of scrutiny hakuna shortcut.
 
NCHI HII ni ya AJABU SANA KUPATA KUTOKEA ndio maana MUNGU KAINYIMA MAENDEKEO
 
Sensa inahitaji physical verification tu,asilimia kubwa ya data wanazo hadi idadi ya kaya na nyumba,wanachotaka ni uhakika na kuona kuna mabadiriko kwa kiasi gani .

Karan wako angekupa elimu ya kutosha nadhan usingekuja na huu uzi
 
KWa mfumo wa nchi yetu ,ilikua simple Sana, kutumia balozi wa nyumba kumi ,sambaza dodoso, zikajazwa na kuzipeleka KWa mkuu wa mtaa,then mtendaji wa kata, nazikatumwa panapo husika, all in all nakua na Tim ndogo KILA wilya KWa makundi mahalum, basi kuliko tumia pesa nyingi alafu ukaishia kuwa na data feki, tatizo ni Kwamba serikalin watu hujifanya wanajua KILA kitu , kumbe wapo kiupigaji tu
 
Mimi leo nimefikiwa bwana..

Moja ya swali niliulizwa na likanishangaza sana ni;

"Ndani ya wiki moja iliyopita ulitembelea maeneo gani?"

Nilitaka nimuulize karani, unaniuliza swali hili ili iweje, lakini nikaamua kupotezea na nikamjibu nilikuwa safari za binafsi za hapa na pale...

Tukawa tumeishia hapo..
 
Kwanza mpaka dakika hii sidhan kama sensa hii ya Samia itakuwa na data sahihi haya ndio madhara ya kujichanganya
 
Basala waullize tunapata milo mingapi , unaulizwa je una brenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…