Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

Hayo maswali yote yapo kwenye dodoso la sensa
Kamayapo kwenye dodoso ameulizwa nani Mimi ambae napaswa kuulizwa sijaulizwa nimeulizwa ndoa kazi nyumbani vyumba vingapi hayo mengine kwangu Mimi ndioyangekuwa yamsingi sikuulizwa sikuulizwa wala sikuoneshwa najuaje kuwa yapo nakamayapo amewekewa nani?
 
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.

Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.

Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:

1. Namba ya simu
Kila siku watu wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.

2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.

3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

4. Kitambulisho cha ujasiriamali
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?

5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".

6. Uzazi na vifo
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.

Ongezeeni mengineyo...
Ni kweli kabisa, imekuwa si sensa tena ya watu bali sensa ya umiliki wa vitu. Mpaka wanauliza nyumba ina vyumba vingapi.

Na idadi ya mifugo wangewaachia wa wizara husika. Hii si sensa ya mifugo bali ya watu!
 
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.

Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.

Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:

1. Namba ya simu
Kila siku watu wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.

2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.

3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

4. Kitambulisho cha ujasiriamali
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?

5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".

6. Uzazi na vifo
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.

Ongezeeni mengineyo...
Naunga mkono hoja zote mkuu Sacha nikazie hapo point namba mbili hivi Sisi jobless but graduate tunalijibuje Hilo ni Sahihi kumjibu Karan kuwa sina ninaposhinda au nashinda nyumbn
 
Acha vingereza vingi wewe brenda linasaidia nini badala ya kuuliza umeathirika vipi na tozo na kupanda kwa mafuta unaulizwa eti unatumia brenda?.Halafu wewe nawe unakuja na vingereza vyako kama Vanesa mdee hapa.
Achana naye huyo ni miongoni mwa wanufaika wa tozo- SI unajua wapinzani nao wanalamba asali. Usitegemee huyo kwenda kinyume na serkali...ila kipindi cha Magufuli alikuwa mbogo
 
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.

Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.

Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:

1. Namba ya simu
Kila siku watu wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.

2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.

3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

4. Kitambulisho cha ujasiriamali
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?

5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".

6. Uzazi na vifo
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.

Ongezeeni mengineyo...
Usipoelewa kitu ni vizuri kuuliza ili uelimishwe. Maswali yote yaliyoulizwa yana maana- kuna watu na fani zao, wametunga maswali na wanajua jinsi ya kutumia majibu yako - ingawa yanaonekana ni ya kijinga. Ukiwa na smart phone inaonesha kwamba una uwezo wa kupata taarifa nyingi sana, una uwezo wa kujielimisha, una uwezo wa kuuza na kununua vitu mtandaoni, una uwezo wa kutoa mada kwenye "forum" za kijamii, una uwezo wa kukusanya watu kufanya mkutano/ maandamano na kadhalika. Vile vile sensa hii ndiyo ya kwanza kujaribu kuunganisha taarifa mbali mbali ili ziwe kwenye data base moja. Serikali ikivuta tuu namba ya Nida - itajua taarifa zako zote. Hapo ndipo tutaelekea uchumi wa kati kihalisia.
 
Kamayapo kwenye dodoso ameulizwa nani Mimi ambae napaswa kuulizwa sijaulizwa nimeulizwa ndoa kazi nyumbani vyumba vingapi hayo mengine kwangu Mimi ndioyangekuwa yamsingi sikuulizwa sikuulizwa wala sikuoneshwa najuaje kuwa yapo nakamayapo amewekewa nani?
Huwezi kuulizwa maswali yote kama mazingira hayaashirii uwepo wa swali hilo ndio maana sidhani kama umeulizwa kama una ualbino au kichwa kikubwa lakin yapo
 
Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu.

Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni kuwachosha makarani tuu na kuifanya kazi ya sensa kuwa ngumu sana na inayoboa kwa anayehojiwa.

Moja ya maswali ambayo ni useless kwenye dodoso la mwaka huu ni kama yafuatayo:

1. Namba ya simu
Kila siku watu wanabadili namba, baada ya mwaka tuu nusu ya data hizi huenda ziwe useless.

2. Mahali unaposhinda
Mahali mtu anaposhinda inasaidia nini kwenye maendeleo ya taifa? Hizi data ndani ya mwaka tuu zitakuwa obsolete maana asilimia kubwa hawatakuwa wanashinda pale pa mwanzo.

3. Kitambulisho na namba ya NIDA
Hizi data tayari zipo NBS. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

4. Kitambulisho cha ujasiriamali
Huu mradi ulishasitishwa siku nyingi. Unawekwa kwenye dodoso kwa lengo gani wakati toka mwendazake aondoke na wenyewe ukasitishwa na hivi vitambulisho havitambuliki tena?

5. Simu janja na Kompyuta
Hizi data zote ziko pale TCRA, wao ndiyo wanajua exactly namba ya hivi vifaa vilivyopo hewani. Kwa vyovyote vile data watakazopata makarani hazitaendana na za TCRA maana siyo wote watatoa data kamili, kwa maswali yalivyo mengi watu wataamua kufupisha kwa kujibu "HAPANA SINA".

6. Uzazi na vifo
Hizi data zinatumwa kila mwezi kwenye wizara zinazohusika. Kuziuliza tena kwenye dodoso ni kuwachosha makarani tuu.

7. Anuani ya makazi
Hili zoezi limefanyika juzi tuu. Kwa kuwa visimbuzi vinatumia GPS nilitegemea kila kikifika kwenye kaya husika basi automatically kidetect kama nyumba ina anuani ya makazi ama laah.

Ongezeeni mengineyo...
Ukisikia nongwa ya Wananzengo ndiyo hii.
 
1.kuhusu namba ya simu ni kwaajili ya maelezo ya ziada pale yanapohitajika mfano kuhakiki kama karani alichukua taarifa sahihi
2.kuhusu unaposhinda ni kujua uhamaji wa kati wa mchana mfano kwa DSM watu hutoka Temeke, Kigamboni,Ubungo na Kinondoni kwenda Ilala( kariakoo au Posta) serikali itapata kujua mahitaji ya miundombinu ya usafiri, usalama, afya kutokana ma mlundikano huo wa watu
3.Kuhusu Namba ya NIDA na kitambulisho cha mjasiliamali lengo ni kujua wangapi wamepata kitambulisho, wangapi wamepata namba pekee na wangapi hawajapata chochote kati ya hivyo, na kwenye namba za machinga tunajua utolewaji wa vitambulisho ulighubikwa na siasa ndani yake sasa lazima kama nchi tujue wangapi wanajishughulisha na biashara ndogondogo, wangapi wangapi wesajiliwa na shirikisho lao, pia wangapi wamepata/wanatumia kitambulisho cha mjasiliamali si lazima kutaja namba ndyo maana kuna option ya kujaza kama hajui au hakumbuki namba yake
4. Kuhusu anuani za makazi serikali unataka kujua wangapi wamepata anuayza makazi na wanazifahamu na wangapi hawajapata kabisa
Ushauri: unaweza pitia miongozo wa makarani wa sensa kujua kila lengo la swali kati ya maswali mia moja
 
Estimations tu kupitia takwimu za 2012, mfano kama watu 100 walikua na laptop 2002, then 200 hiyo 2012, hapo unaweza bashiri growth rate kwamba 2022 itakua 300..... So ndio data za miaka 10 zinakua estimations tu za base year husika.

Ila baada ya miaka 10 una update taarifa Ili itumike kufanya estimations za mpaka 2030 huko tukisubiri sensa nyingine!

2. TCRA Ina taarifa zake ila katika tafiti unatakiwa kufanya validity kupitia kutafiti kupitia approach mbili tofauti Ili upime kama italeta majibu sawa. Mfano BOT inajua wangapi Wana akaunti ila Ili kuprove wanaweza weka swali kwa sensa kama Una akaunti Ili wapate uhakiki wa data zao!!

So hata kama swali ni marudio ndio validity na reliability yenyewe hiyo kwenye tafiti.
Akae akijua pia Sensa ndyo tafiti kuu ya nchi ndyo maana wamejaribu kugusa kila nyanja Ili kutoa kanzidata ya kila sekta
 
Huwezi kuulizwa maswali yote kama mazingira hayaashirii uwepo wa swali hilo ndio maana sidhani kama umeulizwa kama una ualbino au kichwa kikubwa lakin yapo
Hahaaha ilanaulizwa nyumbani ambayo anaiona namke wangu anashindwa kuliza ninapotoka na kurudi natumia barabara gani kuifikia hiyo nyumba unaulizwa unawatoto wangapi huulizwi wamesoma elimu gani wameajiriwa au wamejiajiri jamani tambueni watz tunajitambua vizuri sana kudanganywa tunajuwa k
 
Achana naye huyo ni miongoni mwa wanufaika wa tozo- SI unajua wapinzani nao wanalamba asali. Usitegemee huyo kwenda kinyume na serkali...ila kipindi cha Magufuli alikuwa mbogo
Tatizo hamtaki kuelimishwa, mtu anauliza kwanini swali la Brenda linaulizwa namuelezea kitaalamu analeta ujuaji sasa kama hamtaki kuelewa sasa nmeuliza maswali ya nini?

Ifike mahali tuheshimu taaluma za watu, kama umewahi kusanya data za kupima umaskini wa kaya hayo maswali ungeelewa yanatumika kujumlisha Poverty/Human development index Wala sio kitu kipya kama wengi mnavyoduwaa humu.
 
Karani anauliza una kuku wangapi? Daa! Kweli tumechoka. Sasa swali kama hili linasaidia nini? Nalo linapima kiwango cha umaskini?
Hao kuku unawafugia ndani kwako ama unawaachia tu wakajitafutie chakula wenyewe
 
Nilishangaa baada ya kuona wanahesabu mbuzi pia.
 
Kwa hiyo umeulizwa na umiliki wa vyombo vya moto? Au ni pasi za umeme na mkaa tu?
 
Kila swali lipo coded, so ukisema ndio au hapana Ina tally kule so Yale maswali yote ya poverty index yatakua bundled in one dummy variable kutoa picha ya index au ratio ya umaskini kupitia "umiliki" wa vitu kadhaa.

Survey nyingi sana za kuhoji kuhusu umaskini huwa maswali hayo yapo.
Nadhani kuna tofauti kati ya Survey na Sensa.
 
Back
Top Bottom