bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
hiyo ni sehemu ya 'wealth ranking'Una pasi feni au brenda? Sasa inasaidia nini kwenye takwimu za nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ni sehemu ya 'wealth ranking'Una pasi feni au brenda? Sasa inasaidia nini kwenye takwimu za nchi
Utupu uko wapi hapo? Uki calculate Human development index/Poverty Index kwenye research/Survey au Sensa tofauti Yao ni ipi?? Tofauti ni sampling tu kwamba sensa umechukua wote ila survey umechukua sample tu.Kumbe upo mtupu hivi!!! Sikujua
Ukiwasikia wakizngmzia haya mambo ya kidigitali utadhani wako serious, hakuna kitu. Hivo vtamblisho va NIDA mpaka leo kna watu hawana! Wanaulizia pasi lkn sio friji, wanaulizia baskeli, lkn sio pkpk, ukubwa wa shamba lkn sio idadi ya mabasi au viwanda au umiliki wa miradi mingne -wanataka nini! Hawakuniuliza kuh uptknaj wa maji, umeme, wala mambo muhimu ya umbali wa shule, afya...nk. Nmeona ss wanafanya ya makazi na wanauliza maswli ambayo wangeuliza walipoanza hii shghli inayokula mapesa mengi, ingepngza ghrama.
Nlivoona, hii shghli ingeweza fanywa kw ufanisi zaidi ikiwa ingefanywa na wanafunzi au wenyeji wa eneo kule waliko. Isingegharimu pesa zote hizo, lkn pia tnzngmzia waTz - penye pesa pia pana suala zima la urefu wa kamba
Hujui kitu, uliza tukupe darasa! Upo mtupu kijana. Panua ubongo kidogo, kama survey ni sawa na census! Kwanini nchi zote zifanye census wakati kila wakati wanafanya surveys ambazo gharama zake ni 0.1 ya gharama za sensa moja. Inaonesha hujui tofauti kati ya sample na population kitakwimu. Dogo kumbe Upo mtupu!Utupu uko wapi hapo? Uki calculate Human development index/Poverty Index kwenye research/Survey au Sensa tofauti Yao ni ipi?? Tofauti ni sampling tu kwamba sensa umechukua wote ila survey umechukua sample tu.
In fact kwenye research kama unafanya survey kwenye general population inaitwa SENSA. Sasa kama Una jibu tofauti na Hilo njoo unieleze utupu uko wapi hapo.
Tujifunze kujibu kwa hoja, matusi hayasaidii.
Hapa tunaongelea dodoso, nimeshasema dodoso la survey na sensa yote yanakua coded sawa, dummy variables zinatengezwa sawa hata reliability na validity ya hayo madodoso yanapimwa sawa tu.Hujui kitu, uliza tukupe darasa! Upo mtupu kijana. Panua ubongo kidogo, kama survey ni sawa na census! Kwanini nchi zote zifanye census wakati kila wakati wanafanya surveys ambazo gharama zake ni 0.1 ya gharama za sensa moja. Inaonesha hujui tofauti kati ya sample na population kitakwimu. Dogo kumbe Upo mtupu!
Ukiwasikia wakizngmzia haya mambo ya kidigitali utadhani wako serious, hakuna kitu. Hivo vtamblisho va NIDA mpaka leo kna watu hawana! Wanaulizia pasi lkn sio friji, wanaulizia baskeli, lkn sio pkpk, ukubwa wa shamba lkn sio idadi ya mabasi au viwanda au umiliki wa miradi mingne -wanataka nini! Hawakuniuliza kuh uptknaj wa maji, umeme, wala mambo muhimu ya umbali wa shule, afya...nk. Nmeona ss wanafanya ya makazi na wanauliza maswli ambayo wangeuliza walipoanza hii shghli inayokula mapesa mengi, ingepngza ghrama.
Nlivoona, hii shghli ingeweza fanywa kw ufanisi zaidi ikiwa ingefanywa na wanafunzi au wenyeji wa eneo kule waliko. Isingegharimu pesa zote hizo, lkn pia tnzngmzia waTz - penye pesa pia pana suala zima la urefu wa kamba
Hujui kitu wewe! Tukufundishe Sampling errors! Unalingalisha population na samples wewe kiazi. Unajua a true representative sample wewe. Je kuna true representative hapa duniani wewe? Unadhani wewe unanashabihiana 100% na mtu mwingine? Unajua uniqueness. After all hujui probability sampling hivyo unadakia tu! Mtu anayefananisha data ya sensa na data ya survey ni kiazi tuHapa tunaongelea dodoso, nimeshasema dodoso la survey na sensa yote yanakua coded sawa, dummy variables zinatengezwa sawa hata reliability na validity ya hayo madodoso yanapimwa sawa tu.
2. Nimeshasema tofauti ya sensa na survey ni SAMPLE tu. Yaani ukihoji units zote kwenye population inaitwa SENSA ila ukiamua kuhoji representative sample ya population kama wanavyofanya TWAWEZA, au REDET n.k hiyo Inakua SURVEY. So tofauti ni hiyo tu ila mambo mengine yote ni same.
3. Hoja inasema maswali ya Brenda, Feni n.k ni ujinga na ndio mzizi wa mada. Nikaeleza kwamba Kupima Poverty Index au Human Development Index Kila swali pale linakua na value kulingana na code yake, yaani ukibonyeza kitufe cha YES or NO kule haziingii YES/NO zinaingia value kama ni 1 to 10. So mtu akisema anamilikia nyumba kule inatick 10/10, akisema Brenda inatiki say 3/10 so baadae inapigwa average kujua ratio ya umaskini/Utajiri wa mtu kulingana na Umiliki/access wa vitu kadhaa.
Sasa hizo index zinapigwa hesabu same kwenye survey na sensa zinapigwa hivyo hivyo ndio kitu nilichoeleza hapa in that sense DODOSO LA SENSA NA SURVEY YANAFANANA.
Mimi nafanya shughuli za Research na nimeandaa, sambaza, kusanya, na kuanalyse madodoso sana tu so naongea kama practitioner so elewa nachokwambia. Kuleta ujuaji wakati mtu hujafanya hizi kazi uta mislead watu humu!!
Hakika yamechosha Sana,nilichoka pale walipouliza Smart911 akishinda kwako huwa mnafanya nn......nami nikawajibu yeye ni mwanaume Mimi mwanamke Ivo hatufanyi kitu🙄 nikasahau Kumbe hata ingekuwa mwanaume Kwa mwanaume bado wanaweza fanya kitu 😜Hakika, kuna maswali mengine yakuchoshana tu...
Unashindaga wapi... Hua nashindaga kwa @Beesmom
Jirani umenichekesha sana...Hakika yamechosha Sana,nilichoka pale walipouliza Smart911 akishinda kwako huwa mnafanya nn......nami nikawajibu yeye ni mwanaume Mimi mwanamke Ivo hatufanyi kitu🙄 nikasahau Kumbe hata ingekuwa mwanaume Kwa mwanaume bado wanaweza fanya kitu 😜
Ni hataree jirani🤸Jirani umenichekesha sana...
Kama kiingereza tu kinakushinda hizo "sampling errors" utaweza nifundisha? Tuheshimiane kijana, huna Elimu Wala ujuzi wowote wa kunifundisha kuhusu research!!Hujui kitu wewe! Tukufundishe Sampling errors! Unalingalisha population na samples wewe kiazi. Unajua a true representative sample wewe. Je kuna true representative hapa duniani wewe? Unadhani wewe unanashabihiana 100% na mtu mwingine? Unajua uniqueness. After all hujui probability sampling hivyo unadakia tu! Mtu anayefananisha data ya sensa na data ya survey ni kiazi tu
Hujui kitu wewe! Tukufundishe Sampling errors! Unalingalisha population na samples wewe kiazi. Unajua a true representative sample wewe. Je kuna true representative hapa duniani wewe? Unadhani wewe unanashabihiana 100% na mtu mwingine? Unajua uniqueness. After all hujui probability sampling hivyo unadakia tu! Mtu anayefananisha data ya sensa na data ya survey ni kiazi tu
Mbona sikuulizwa swali la waliokufa maana kama wangeuliza lazima la lini walikufa lingefuata.Unaposema data za NIDA teyari zipo NBS..hao NBS watajuaje walio hai na waliokufa kwa usahihi bila kupta takwimu za sensa?
Ikumbukwe ni idadi kubwa ya watu wanaokufa bila kufuata certificate za vifo kutoprocess certificate ya kifo kunaikosesha serikali takwimu sahihi za vifo...
Ukiona familia inafuatilia cheti cha kifo kwa sehemu kubwa huwaga ni kwaajiri ya matumizi ya kisheria kwenye masuala ya mirathi ya Mali za marehemu ila wengi ambao hawanaga shuguli maalumu na hawana mali za kulithiwa huwaga ndugu zao hawasumbuki kufuatilia vyeti vya vifo pale RITA...
Huoni hapo kuwa wewe ni kiazi. An estimation (introducing a factor) is just an estimation young man!!!! Huwezi kuilinganisha na actual (census data). Umeelezwa survey data (using part of the population-sample) si sawa na kutumia actual population. Wewe ni kiazi tu, haya mambo unayasikia wakati sie tumebobea dogoView attachment 2342173
Source: EU
Tatizo lugha mkuu inakupa shida, nimekuwekea hapo uone kwamba tofauti ya sensa na survey ni SAMPLE sio kingine. Ukichukua data kwa SAMPLE ya watu wachache kwenye population inaitwa SURVEY ila ulichukua data kutoka Kwa watu WOTE kwenye population husika inaitwa CENSUS.Huoni hapo kuwa wewe ni kiazi. An estimation (introducing a factor) is just an estimation young man!!!! Huwezi kuilinganisha na actual (census data). Umeelezwa survey data (using part of the population-sample) si sawa na kutumia actual population. Wewe ni kiazi tu, haya mambo unayasikia wakati sie tumebobea dogo
Tatizo ndo liko hapo. Kuchanganya nazaria na hali halisi. Kama una deal na population, sample iwe representative au la, ya nini? Hiyo sensa si ingetoa majibu yote kwa usahihi zaidi? Magharama si yangepungua? Unafanya sensa wk 1 na inayofuata unakuja na hiyo survey, kweli! Ni kweli takwimu sio ugali kwamba kila mtu anakula lkn pia kusomea takwimu haikufanyi kujua jinsi ya kupanga, inakufndisha kutafsiri takwimu. Unaulizia baskeli, sio bodaboda, namba ya luku sio ya mita ya maji, ekari ngapi sio kampuni ngapi! Kujua sampling technique sawa, lkn maswali mengne kama vile ya kitoto! Yanatuongezea tozo. Kila la heri mtaalam wetuHujui kitu, uliza tukupe darasa! Upo mtupu kijana. Panua ubongo kidogo, kama survey ni sawa na census! Kwanini nchi zote zifanye census wakati kila wakati wanafanya surveys ambazo gharama zake ni 0.1 ya gharama za sensa moja. Inaonesha hujui tofauti kati ya sample na population kitakwimu. Dogo kumbe Upo mtupu!
Hujui kitu. Nikueleweshe! Utafiti uliotimilika ni sensa ambayo inapata data kutoka kwa watu au vitu vyote unavyotafiti. Sababu kuu ya mfano kupata data za watu wote au vitu vyote ni kwa vile hatufanani (we are not homogeneous in nature). Lakini njia hii ni ya gharama sana kama ulivyoona katika sensa ya watu na makazi au hii inayoendelea ya Majengo. Mfano Twaweza katika utafiti wao ingefaa kama wangeliuza watanzania wote kuhusu Tozo, tungepata jibu la uhakika, ila kuuliza watu wote ni ghali na hizo pesa hawana. Hivyo wanajaribu kupata wawakilishi ili majibu ya hao wawakilishi yawe kama representative ya watu wote. Hapo ndipo siye watakwimu tunaingia (sampler)!Tatizo lugha mkuu inakupa shida, nimekuwekea hapo uone kwamba tofauti ya sensa na survey ni SAMPLE sio kingine. Ukichukua data kwa SAMPLE ya watu wachache kwenye population inaitwa SURVEY ila ulichukua data kutoka Kwa watu WOTE kwenye population husika inaitwa CENSUS.
Sasa wewe unataka kupotosha kitu Gani hapa? Questionnaire ya census na survey Zina tofauti Gani? Ku-code maswali ya questionnaire na Census Yana tofauti Gani? Ku calculate poverty index kwenye survey na census Ina tofauti Gani?
Alafu census haimaanishi watu hapana hata ukihoji makampuni yote ya Mabasi unaita CENSUS sio SAMPLE!!
Kizuri (perfection) ni gharama! Kuna gharama huwezi kukwepa.Tatizo ndo liko hapo. Kuchanganya nazaria na hali halisi. Kama una deal na population, sample iwe representative au la, ya nini? Hiyo sensa si ingetoa majibu yote kwa usahihi zaidi? Magharama si yangepungua? Unafanya sensa wk 1 na inayofuata unakuja na hiyo survey, kweli! Ni kweli takwimu sio ugali kwamba kila mtu anakula lkn pia kusomea takwimu haikufanyi kujua jinsi ya kupanga, inakufndisha kutafsiri takwimu. Unaulizia baskeli, sio bodaboda, namba ya luku sio ya mita ya maji, ekari ngapi sio kampuni ngapi! Kujua sampling technique sawa, lkn maswali mengne kama vile ya kitoto! Yanatuongezea tozo. Kila la heri mtaalam wetu
Kujua maendeleo ya mtu mmoja mmojaUna pasi feni au brenda? Sasa inasaidia nini kwenye takwimu za nchi