Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

Sili silali nikikuwaza baby..

Nikinywa maji nakuona kwenye glasi..

Hahahah enzi hizoooo...sio enzi hizi...

Enzi hizi maneno kidogo unayaambatanisha na Muamala kidogo Tigo Pesa/M-Pesa/Airtel money
 
Sili silali nikikuwaza baby..

Nikinywa maji nakuona kwenye glasi..

Hahahah enzi hizoooo...sio enzi hizi...

Enzi hizi maneno kidogo unayaambatanisha na Muamala kidogo Tigo Pesa/M-Pesa/Airtel money
We mkali
 
upo tofaut na wanawake weng kwako waweza pinga ila.. Kbwa ni kwamba nimekupenda sintokuacha mwnyw maana ntaipoteza bahati...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…