prosper cliff
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 661
- 695
Nimeipenda da!!!!Nimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
Acha mchezo wewe moyo kudondoka hiyo ni ajali. Huwezi kubaki salama!Moyo wangu umekudondokea,, njoo tuunganishe makojoleo!
We jamaa ni kiboko saanaaNimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
Au umpe iPhone x [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa hawezi chomoanakupenda sana! kesho ukija, nakupa iPhone 6s yangu moja, maana ninazo mbili
Mistari mikali sana hii ngoja nikaongezee na hii yule msukuma lazima aingie kati usiku nitaleta mrejesho km katiki au no ila kwa madini haya hachomoi japo anajiona mzuri na wakishu umeniongezea kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....
Kawaida sana kiongoziWe jamaa ni kiboko saanaa