Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Wadau, amani iwe kwenu.
Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.
Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!