Tetesi: Septemba 1 ni Maadhimisho ya Miaka 52 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania

Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!
Vipi Lukuvi, Membe na yule DC wa kinondoni bado wanamhujumu mtukufu Rais kama ulivyotuaminisha siku chache zilizopita?
 
Mnajishaua kweli nyie mwende kwenye maadhimisho huko viwanjani sisi tunaendelea na UKUTA barabarani.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe?! Ni lini utaanza kutumia akili yako mwenyewe?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!
Tarehe si imekaribia kwa nn usisubiri ili upate majibu ya uhakika??
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!

Ni jeshi lipi hilo lililoanzishwa 1964?

Watu ata historia ya nchi yao hawaitambui?

Acheni majungu na mjiongeze kwa kujisomea
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!
Siku hizi umeteuliwa kuwa msemaji wa Ikulu? Hongera sana
 
kama ni pumba andamana sept 1. Ukione cha mtema kuni

Nakuthibitishia kuwa watu hao hawataandamana...sana sana 'wataandamana' humu JF kwa posts zao za uzushi na uongo...utawasikia makamanda tupo pamoja, 'kule Mbeya maelfu waandamana', Polisi waua 30 kwenye maandamano' yaani watazusha mengi kuhusu vifo ambavyo ni hewa....Wako ambao watajipaka nyanya na tomato sauce na kugalagala barabarani ionekane kuwa wamepigwa risasi, wengine watakimbilia ubalozini...wasichojua ni kwamba masjeshi ya ulinzi na usalama wanazifahamu mbinu hizo na tahadhari imeshachukuliwa ...njia zote kuelekea balozi 'kubwa' zitazibwa, na kadhalika na kadhalika...uzuri ni kwamba watanzania wengi wamepuuza maandamano hayo...
 
Mi naomba mungu awajaalie ushujaa wa kufanya wanachosema, ili ukweli wa mambo udhihiri, na kina sie tufanye mambo mengine...
...angalizo....tukijua fika hitimisho la tamthilia hii, na tukumbushane kwa ufupi tu somo la "waziri mkuu wa awamu ya tatu", akihutubu bungeni miaka hiyo juu ya ugumu wa mazingira ya jela...kwamba ni sehemu ya kuhifadhi wahalifu kwa uhalifu wao, na haiwezi kuwa kama kilimanjaro hotel.....lkn pia, tukikumbushana na mengine, mheshimiwa Lusinde, akihutubu ktk kampeni za uchaguzi mdogo huko arumeru, miaka hiyo, alitutanabahisha juu ya namna "al maarufu wa mji wa mnara wa katikati ya Cape town, na Alexandria, alivyojisogeza, na kukirimiwa na "wajanja" wa jela, ili kujipunguzia adha, mateso, na ugumu wa jela....tujikumbushe pia kupitia marehemu Ndanda Kosovo na wenzi wake na kibao cha cha "jela"...
...ni vema kukumbushana...!
.....na iwe hivyo!

Vitisho
 
magu anamuogopa lowassa kama marekani inavyoiogopa pyongyang
 
kama ni pumba andamana sept 1. Ukione cha mtema kuni
Hizi ni aina mbaya za fikra zinazotufikisha hapa!
Askari wana exercise their duties ingawa nao pia wana utashi wao, sio machine nao ni watu na wanahisia na mahitaji mengine kama sisi wote! Wao watapima!
Lkn ktk aina hii ya misuguano kama busara zikitoweka majangà huwa hayaachi kutuwekea makovu ya kudumu!
Kenya kulikuwa na jeshi, lkn hicho cha mtema kuni waliona wote! Syria na Yemen leo wote askari na raia wanakiona cha mtema kuni! Burundi, DRC, Libya, Egypt etc wote raia na askari wanakiona cha mtema kuni!
Now, nini best approach kwa hili?
Tujipange na tuwe open kwa dialogues! Vitisho havisaidii upande wowote
 
Back
Top Bottom