Tetesi: Septemba 1 ni Maadhimisho ya Miaka 52 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania

Tetesi: Septemba 1 ni Maadhimisho ya Miaka 52 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania

Wanajeshi watafanya usafi na sisi wananchi wengine tunaotoka kwenye UMOJA WA KUZOA takaTANZANIA (UKUTA) tutawasaidia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya majeshi wanaolipwa laki mbili na nusu kwa mwezi au ni yapi?

Sio kila mtu ni mchaga ambaye kila akifanyacho anawaza pesa tu atalipwa shilingi ngapi.Kuna wazalendo ambao wako tayari kufanya kazi ya serikali hata bure au kwa mshahara kiduchu.
 
Dah sasa polisi wataenda kwenye gwaride au kupambana na UKUTA?? Halafu nimesikia haya maandamano ya UKUTA yatafanyika kila kata kwa siku moja sijajua polisi watajigawaje!!

Polisi wako wenye uniform na wasio na uniform na wasio na uniform ni wengi,wakatili na wako kila sehemu.Ogopa kupambana na askari asiye na Uniform kwani yule aweza hata kukuua kesho ikatangazwa umeuawa na mtu asiyejulikana wakati mkigombea bwana au bibi kwenye pombe!!!! Kwa kuwa utakuwa ulishakufa hutakuwa na nafasi ya kujibu na biashara itaishia hapo.
 
Back
Top Bottom