Tetesi: Septemba 1 ni Maadhimisho ya Miaka 52 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania

Ila ukweli unabaki ukweli ujumbe umefika na operation imefanikiwa kwa zaidi ya 90%
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathunutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!
Mtajitafuta sana
 
CCM bila jeshi weupe kabisa
So far ni lazima mamlaka iwe na ulinzi, si hapa na wala kwa CCM tu, haipo mamlaka isiyo na ulinzi hata sie wakristo tuna "roho mtakatifu" kama mlinzi wetu. Mjitahidi kuendelea kutafuta maharifa ili iwasaidie
 
mleta ajibu swali kuwa siku ya 31 augost ni maadhimisho ya sikukuu ipi?
mbona haina maandalizi ya kutosha kama haya ya policcm?
#NikoTayariKwaUKUTA sep 1.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!
Labda sio magufuli yule mbana matumizi ila kama ni yule nichekeleeee
 
Mradi wako kuhusu Mkuu wa Wilaya Kinondoni unaendeleaje?
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!
 
Yani cku zinavyokaribia ndivyo serkali na hawa vibaraka waliokatwa mkia kama lizaboni wanazidi kutupandisha hasira. Hakiamungu wewe lizabone ningekuwa nakujua physically siku iyo...........
 
HAPPY BIRTHDAY TO YOU MAJESHI YA Ulinzi na usalama.
Majeshi yote sehemu mbali mbali mikoa karibu yote yako kwenye mazoezi MIKOA MBALI MBALI yakifanya mazoezi ya nguvu kwa ajili ya kusherehekea siku hiyo kwa maonyesho mbali mbali ya kijeshi kuanzia YA kipolisi kwenye mitaa mbali mbali ya miji na majiji.Siku hiyo POLISI WATAPITA mitaani kusherehekea siku kuu yao kubwa wakiwa na magari yao virungu,mbwa ,silaha nk yote katika kuipendezesha siku kuu yao.

WANANCHI SIKU HIYO MKIWAONA MITAANI washangilieni sanaaa wako kwenye kusherehekea siku kuu yao
wengekuwa wakipatiwa pia taarifa ya uvamizi wa majambaz wanajitokeza sijui....
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!
maandamano yatakuwepo kwani majeshi hayawezi kusambaa nchi nzima , tambua wananchi ni wengi kuliko majeshi .
 
Wananchi ni wengi zaidi ya majeshi kuna sehemu nyingi Tz hazina hata vituo vya polis lakini wananchi wanajilinda wenyewe .
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!

hahahahahahahahahahahha

basi tutapeleka maandamano yetu tarehe 5 September...ili mje tuandamane sote na majeshi yetu
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.

Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathubutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!

Narudia tena kukuambia hiyo posho uliyoongezewa itakuadhiri muda si mrefu
 
Back
Top Bottom