kama ni pumba andamana sept 1. Ukione cha mtema kunipumba tupu.
swissme
mimi niko mstari wa mbele kuzuia UDIKTETA Tanzania.kama ni pumba andamana sept 1. Ukione cha mtema kuni
Umesema wewe....sio mimiNa siyo maandamano, migomo na vurugu
Chadema watayatatua kwa maandamano.Maji, elimu, afya, barabara, mfumuko wa bei ni matatizo yanayowagusa watanzania moja kwa moja
Wadau, amani iwe kwenu.
Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964.
Mi naomba mungu awajaalie ushujaa wa kufanya wanachosema, ili ukweli wa mambo udhihiri, na kina sie tufanye mambo mengine...Wadau, amani iwe kwenu.
Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Septemba Mosi ni siku maalum ambapo majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yataadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Itakumbukwa kwamba majeshi yetu yamekuwa yakifanya sherehe na maadhimisho ya aina hiyo kila mwaka na mwaka huu imeangukia Septemba Mosi siku ambayo CHADEMA watafanya maandamano waliyoyabatiza jina la UKUTA.
Swali la kujiuliza, je CHADEMA watathunutu kuandamana siku hiyo? Thubutu!