Tetesi: Septemba 1 ni Maadhimisho ya Miaka 52 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania

Ila ukweli unabaki ukweli ujumbe umefika na operation imefanikiwa kwa zaidi ya 90%
 
Mtajitafuta sana
 
CCM bila jeshi weupe kabisa
So far ni lazima mamlaka iwe na ulinzi, si hapa na wala kwa CCM tu, haipo mamlaka isiyo na ulinzi hata sie wakristo tuna "roho mtakatifu" kama mlinzi wetu. Mjitahidi kuendelea kutafuta maharifa ili iwasaidie
 
mleta ajibu swali kuwa siku ya 31 augost ni maadhimisho ya sikukuu ipi?
mbona haina maandalizi ya kutosha kama haya ya policcm?
#NikoTayariKwaUKUTA sep 1.
 
Labda sio magufuli yule mbana matumizi ila kama ni yule nichekeleeee
 
Mradi wako kuhusu Mkuu wa Wilaya Kinondoni unaendeleaje?
 
Yani cku zinavyokaribia ndivyo serkali na hawa vibaraka waliokatwa mkia kama lizaboni wanazidi kutupandisha hasira. Hakiamungu wewe lizabone ningekuwa nakujua physically siku iyo...........
 
wengekuwa wakipatiwa pia taarifa ya uvamizi wa majambaz wanajitokeza sijui....
 
maandamano yatakuwepo kwani majeshi hayawezi kusambaa nchi nzima , tambua wananchi ni wengi kuliko majeshi .
 
Wananchi ni wengi zaidi ya majeshi kuna sehemu nyingi Tz hazina hata vituo vya polis lakini wananchi wanajilinda wenyewe .
 

hahahahahahahahahahahha

basi tutapeleka maandamano yetu tarehe 5 September...ili mje tuandamane sote na majeshi yetu
 

Narudia tena kukuambia hiyo posho uliyoongezewa itakuadhiri muda si mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…