Tetesi: Septemba 1 ni Maadhimisho ya Miaka 52 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania

Vipi Lukuvi, Membe na yule DC wa kinondoni bado wanamhujumu mtukufu Rais kama ulivyotuaminisha siku chache zilizopita?
 
Tuache watanzania wafanye kazi chini ya rais tulipewa na mola
 
Mnajishaua kweli nyie mwende kwenye maadhimisho huko viwanjani sisi tunaendelea na UKUTA barabarani.
 
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe?! Ni lini utaanza kutumia akili yako mwenyewe?
 
Tarehe si imekaribia kwa nn usisubiri ili upate majibu ya uhakika??
 


Ni jeshi lipi hilo lililoanzishwa 1964?

Watu ata historia ya nchi yao hawaitambui?

Acheni majungu na mjiongeze kwa kujisomea
 
Siku hizi umeteuliwa kuwa msemaji wa Ikulu? Hongera sana
 
kama ni pumba andamana sept 1. Ukione cha mtema kuni

Nakuthibitishia kuwa watu hao hawataandamana...sana sana 'wataandamana' humu JF kwa posts zao za uzushi na uongo...utawasikia makamanda tupo pamoja, 'kule Mbeya maelfu waandamana', Polisi waua 30 kwenye maandamano' yaani watazusha mengi kuhusu vifo ambavyo ni hewa....Wako ambao watajipaka nyanya na tomato sauce na kugalagala barabarani ionekane kuwa wamepigwa risasi, wengine watakimbilia ubalozini...wasichojua ni kwamba masjeshi ya ulinzi na usalama wanazifahamu mbinu hizo na tahadhari imeshachukuliwa ...njia zote kuelekea balozi 'kubwa' zitazibwa, na kadhalika na kadhalika...uzuri ni kwamba watanzania wengi wamepuuza maandamano hayo...
 

Vitisho
 
magu anamuogopa lowassa kama marekani inavyoiogopa pyongyang
 
kama ni pumba andamana sept 1. Ukione cha mtema kuni
Hizi ni aina mbaya za fikra zinazotufikisha hapa!
Askari wana exercise their duties ingawa nao pia wana utashi wao, sio machine nao ni watu na wanahisia na mahitaji mengine kama sisi wote! Wao watapima!
Lkn ktk aina hii ya misuguano kama busara zikitoweka majangà huwa hayaachi kutuwekea makovu ya kudumu!
Kenya kulikuwa na jeshi, lkn hicho cha mtema kuni waliona wote! Syria na Yemen leo wote askari na raia wanakiona cha mtema kuni! Burundi, DRC, Libya, Egypt etc wote raia na askari wanakiona cha mtema kuni!
Now, nini best approach kwa hili?
Tujipange na tuwe open kwa dialogues! Vitisho havisaidii upande wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…