Tetesi: Septemba 1 ni Maadhimisho ya Miaka 52 ya Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania

 
MWENYE ILE VIDEO YA POLISI WAKIWA KTK DIFENDA WAKIWA WANAFANYA MAZOEZI....DREVA ALITAKA KU DRIFT ....MPAKA GARI LIKAANGUKAA HEBU AITUPIEE HUMU,MAANA LILIPOPINDUKA NYUMA KULIKUWA NA ASKARI NATAKA KUJUA TU KAMA WALITOKA SALAMA AU WALIUMIAAAA...

OVAAA
 
Awamu hii siyo ya kufanyia majaribio. Wafanye kazi. Na wakitaka kumjaribu jemedari wajitokeze
Maandamano yatafanyika mitaani tena nchi nzima...maadhimisho yatafanyika most likely uwanja wa Taifa mbona havina mahusiano? Labda uniambie mwaka huu na kwa mara ya kwanza maadhimisho yatafanyika mitaani tena nchi nzima
 
Yaani inachekesha! nahisi wana ukuta wamejifungia sehem wanacheka jinsi wateule wanavyochachawa! full kimuhemuhe!
 
Kwani hii nchi imemilikishwa kwenu na Waingereza?

Nikisema Mungu hayupo watu Wanabisha... Basi watasema Watu wa Mungu ni Shida sana
 
Jamani mie mwenzenu nasubiri saaaana siku hii ya Sept. 01.
Na naomba kw mungu kusitokee mazungu zo yyte ya kusitisha ukuta.
Nataka nione huo ukuta utafanikiwa au lah.
Maana mie ninavyoona huku mtaani, sijuwi kama huku kwetu kama watakaoandamana watafika mia au hata hamsini....
Yaani mie ukuta naisikiaga kama story na sio kama mkakati ambao watu labda wanaonesha watashiriki.
 
hayo maazimisho yanategemea muandamo wa mwwzi? mbona hayako kwwnye kalenda?

Mkuu hayo maadhimisho yanategemea muandamo wa mwezi mpaka hayapo kwenye kalenda?
 

Kaka unahaha mara umekuwa msemaji wa wizara ya Ulinzi na wizara ya Mambo ya Ndani, kweli wa jamaa wanabadilisha nyimbo watu mmnacheza wenyewe any way soma hii, The message kutoka kwa A State Man:

 
hayo maazimisho yanategemea muandamo wa mwwzi? mbona hayako kwwnye kalenda?


Mkuu hayo maadhimisho yanategemea muandamo wa mwezi mpaka hayapo kwenye kalenda?
Siku ikifika ndio utajua
 
Siku ikifika ndio utajua

Hiyo siku atakuwa ameshajenga viwanda vingapi maana ndio ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni na sio kupiga raia anaotofautiana nao kimitazamo.
 
CCM bila jeshi weupe kabisa
Sasa kwani maana ya chama dola/tawala ni nini? Si ni kuwa na majeshi yote? Siku chadema watakapochukua dola majeshi yote yatakuwa yao na ccm watabaki weupe. Sasa hivi chadema ni weupe, wasubiri zamu yao bila ya vurugu na longolongo za kumjaribu rais wetu wa sasa.
 
Maandalizi ya maadhimisjo hayo ndio yanafanyika ndani ya majuma mawili? Yangu macho [emoji102]

Kaka ...
 

Dah sasa polisi wataenda kwenye gwaride au kupambana na UKUTA?? Halafu nimesikia haya maandamano ya UKUTA yatafanyika kila kata kwa siku moja sijajua polisi watajigawaje!!
 
Labda muandamane hamna nguo ndo mtasalimika!maana askari hawatawasogelea msije kushtaki mmenyanyaswa kijinsia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…