Wepesi kama tissueCCM bila jeshi weupe kabisa
Haya majeshi wanaolipwa laki mbili na nusu kwa mwezi au ni yapi?
Dah sasa polisi wataenda kwenye gwaride au kupambana na UKUTA?? Halafu nimesikia haya maandamano ya UKUTA yatafanyika kila kata kwa siku moja sijajua polisi watajigawaje!!