Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heshima yako sis
Facebook.com
labda unamaana gani na hiyo kitu ya facebook.com?
Nakumbuka nilikuwa class 2
marahabaa hujambo mdogo wangu?
Facebook.com mana yake ni ulikuwa mdogo.
Drs la 2?
Nitupie shikamoo yangu.
marahabaa hujambo mdogo wangu?
Watu kwa kupenda Ukubwa!
Marahaba mdogo wangu Cl
Shikamoo dada Madame B.
Hata habari yenyewe niliambiwa nikiwa shule ila habari ya usiku saa mbili ITV ndio niliona pale
unapenda salamu nitakuwa nakutupia salamu kila siku
yep ila kama kweli we mkubwa I mean be true to ur self and ur heary
Shikamoo dada Madame B.
Hata habari yenyewe niliambiwa nikiwa shule ila habari ya usiku saa mbili ITV ndio niliona pale
hahaha umeonaa eh
MARKHABA.
Mdogo wangu mpendwa.
Je,umeshakula ubwabwa na maharage?
Kama bado wambie wakupatie.