September 11 ...Ulikuwa wapi ??

September 11 ...Ulikuwa wapi ??

nilikuwa T.M.A pale monduli namalizia kozi yangu ya uofisa, tukio lile ilikuwa changamoto kubwa sana kwetu.
 
Facebook.com mana yake ni ulikuwa mdogo.
Drs la 2?
Nitupie shikamoo yangu.

Shikamoo dada Madame B.
Hata habari yenyewe niliambiwa nikiwa shule ila habari ya usiku saa mbili ITV ndio niliona pale
 
unapenda salamu nitakuwa nakutupia salamu kila siku
 
yep ila kama kweli we mkubwa I mean be true to ur self and ur heary
 
Shikamoo dada Madame B.
Hata habari yenyewe niliambiwa nikiwa shule ila habari ya usiku saa mbili ITV ndio niliona pale

MARKHABA.
Mdogo wangu mpendwa.
Je,umeshakula ubwabwa na maharage?
Kama bado wambie wakupatie.
 
nilikuwa nyumban nina miaka minne kikawa nasikia watu wakitajataja jina la Osama
 
Nilikuwa k.nondoni muslim, ni jirani na ubalozi wa marekani uliolipuliwa, nilihisi kama vile nyumba nilokuwemo imegungwa na gari kubwa! Nilishtuka sana! Nilipotoka nje nikaona moshi mkubwa na vumbi jingi pande za ubalozini, magari mengi yalokuwa kwenye foleni kwenye mataa ya k.nondoni kuelekea mjini yalivunjika vioo"
 
mi nilikuwa huko huko kulipolipuliwa,ilikuwa noma sana aisee,ile migaidi kwa kweli ilikuwa smart balaa,hakuna aliyeamini
 
Back
Top Bottom