Kwenda na kurudi ipi hy wakati mchujo imefanyika kwenye mikoa yao, Dodoma wanaenda wale waliofaulu mchujo na sio vichwa maji waliopata 0We ni fisadi unanufaika na upigaji wa pesa za umma, kwanza mimi siyo mwalimu hakuna interview nashiriki, siwezi kuajiriwa na seriakali ya kijambazi namna hii, mimi ni mjasiriamali ila natetea watoto wa masikini kwenda na kurudi ni gharama na wengine hawana uwezo, kwani akifanya kwa siku moja kuna tatizo gani?
Wewe huna akili hujui hata kinachoendelea, hakuna aliyeenda Dodoma hata mmoja wote kwenye mikoa yao, kwani wote wapo Arusha, Sindiga, Moshi, Mwanza, Morogoro mjini hawatoki Wilayani/vijijini ndani ndani? kwanini interview iwe ndefu hivi? why kusiwe na application wakafanya online?Kwenda na kurudi ipi hy wakati mchujo imefanyika kwenye mikoa yao, Dodoma wanaenda wale waliofaulu mchujo na sio vichwa maji waliopata 0
Watu wa afya pamoja na kada zngn wangekuwa wanalalamika hv kama nyie waalimu bc nngekubali usaili una shida ila wanaolalamika ni waalimu pekee yao kisa wanaogopa usaili π kama mwalimu anaogopa mtihani cjui mwanafunzi atakayemfundisha aogope nnWewe huna akili hujui hata kinachoendelea, hakuna aliyeenda Dodoma hata mmoja wote kwenye mikoa yao, kwani wote wapo Arusha, Sindiga, Moshi, Mwanza, Morogoro mjini hawatoki Wilayani/vijijini ndani ndani? kwanini interview iwe ndefu hivi? why kusiwe na application wakafanya online?
UWT hamjawahi kumiliki akili timamu, tuambie ni nchi gani inafanya usaili wa zaidi ya siku 50 kwa kada moja?Watu wa afya pamoja na kada zngn wangekuwa wanalalamika hv kama nyie waalimu bc nngekubali usaili una shida ila wanaolalamika ni waalimu pekee yao kisa wanaogopa usaili π kama mwalimu anaogopa mtihani cjui mwanafunzi atakayemfundisha aogope nn
Kada moja ila vitengo tofauti, hao hujaelewa nn ndugu mwalimu uliyepata 0?UWT hamjawahi kumiliki akili timamu, tuambie ni nchi gani inafanya usaili wa zaidi ya siku 50 kwa kada moja?
Tulia wewe UWT, kwahiyo masomo yapo 50?Kada moja ila vitengo tofauti, hao hujaelewa nn ndugu mwalimu uliyepata 0?
Kada n ualimu ila kila siku na somo lake, au kisa nyie waalimu hamna perdiem ndo mana unaona wivu wengine kula perdiem?
Tulia wewe UWT, kwahiyo masomo yapo 50?Kada moja ila vitengo tofauti, hao hujaelewa nn ndugu mwalimu uliyepata 0?
Kada n ualimu ila kila siku na somo lake, au kisa nyie waalimu hamna perdiem ndo mana unaona wivu wengine kula perdiem?
Somo moja mara mbili. Na hata bado hazifiki siku 50 acha uongo ndugu mwalimu ulitefeliTulia wewe UWT, kwahiyo masomo yapo 50?
Usaili ni maamuzi ya mtu mmoja au wawili kuamua kukupa alama watakayo. Ama wakupitishe ama wakunyonge, hakuna kipimo cha kitaaluma kinachoamua usahihi wa interview.Sasa kama umepita huko kote unaogopaje usaili π
Fact.Usaili ni maamuzi ya mtu mmoja au wawili kuamua kukupa alama watakayo. Ama wakupitishe ama wakunyonge, hakuna kipimo cha kitaaluma kinachoamua usahihi wa interview.
Kwan ht chuo pia c hvy hvy n mtu mmoja anaamua akupe alama ipi.Usaili ni maamuzi ya mtu mmoja au wawili kuamua kukupa alama watakayo. Ama wakupitishe ama wakunyonge, hakuna kipimo cha kitaaluma kinachoamua usahihi wa interview.