kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Kwa kiswahiliWaalimu ni wawoga wa kushindanishwa kwenye interviews, kila sekita iko vile usairi ndo kigezo cha filter kiziri kumpa kila mtu nafasi hiyo hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kiswahiliWaalimu ni wawoga wa kushindanishwa kwenye interviews, kila sekita iko vile usairi ndo kigezo cha filter kiziri kumpa kila mtu nafasi hiyo hiyo.
Kwan unasoma ili uajiriwe au n ili upate maarifa?Serikali isimamishe kusomesha kozi ya Ualimu kwa miaka 5 hivi mpaka hapo itakapokuwa imeajiri Waalimu wote.
Serikali inapoteza hela kuwasomesha harafu inaajiri wachache?
Economically ni Ujinga kumsomesha mtu usiyemwajiri.
Nani kakuambia kwamba sababu ya kuzomesha ualimu na aerikali ni kuajiliwa, hizo ndo fikira potovu za ma graduate wetu asipo ajilowa na serikali anaona kama awesomea bure, elimu ni muhimu zaidi ya kuajiliwa, tatixo kubwa ya wa tanzania vyochwa vyetu sio critical thinkers hatuna creativity yoyote zaidi ya kufilitia kuajiliwa na serikali tu.Serikali isimamishe kusomesha kozi ya Ualimu kwa miaka 5 hivi mpaka hapo itakapokuwa imeajiri Waalimu wote.
Serikali inapoteza hela kuwasomesha harafu inaajiri wachache?
Economically ni Ujinga kumsomesha mtu usiyemwajiri.
Mfano wa filtersMkuu wewe wataka aweke filter gani itakao kua fair kwa kila mtu.
Hivyo vyote ni irrelevant likija sual la ualimu kwasababu masoma walio soma nitofauti na uwezo wa kugundisha ni tofauti, kwa mfano unatafuta mualimu wa physics na Biology au commerce, wenye uwezo na vigezo ni fresh graduate utawaacha uchukue wale wa kiswahili na civics kwasbb wote ni waalimu?Mfano wa filters
1. Umri. Kipaumbele wale wenye umri mkubwa maana ajira za serikali usidhidi 46 yrs.
2. Old graduate
Hivyo ni vigezo muhimu sana kuzingatia hasa serikalini ama na taasisi zinaajiri watu wengi kwa wakati mmoja.
Kuna academic performance, iwe kidato cha 4, 6, then vyuo itategemea sasa na motive.
Sasa if that a case kwa nini watu wanalalamikia Ajira?Nani kakuambia kwamba sababu ya kuzomesha ualimu na aerikali ni kuajiliwa, hizo ndo fikira potovu za ma graduate wetu asipo ajilowa na serikali anaona kama awesomea bure, elimu ni muhimu zaidi ya kuajiliwa, tatixo kubwa ya wa tanzania vyochwa vyetu sio critical thinkers hatuna creativity yoyote zaidi ya kufilitia kuajiliwa na serikali tu.
Ni empty head hawataki kutegrneza ajira zao wenyewe lack creativity au ubunifu wa ajira.Sasa if that a case kwa nini watu wanalalamikia Ajira?
Kama hutaki interview usiende.Hakuna anaekataa interview. Kinachokataliwa ni Ile mtu analala anaamuka na pass mark yake badala ya Ile ya 50%. Maana yake wao wanavutia upande wao, kama wapo serious basi wawasaili wote hata wale waliopata 50% na kuendelea. Sasa ukisema Mwl anaekataa usaili ilihali kapata 88% na pass mark ikawa 92% huoni huo ni upuuzi na ujinga tu. Kupotezeana muda na rasilimali fedha for nothing. Narudia Tena mkenda na wenzako ni mbwa, roho mbaya nyie lolote baya liwapate.
Mindset zibadilike, vilio vipungueNadhani tuko pamoja, kutengeneza ajira siyo kwamba yenyewe ndiyo iwe mwajiri, ni pia unalosema la kutengeneza mazingira ya ajira silipendi neno kujiajiri kwakua Lina madhara pia katika kutengeneza ajira maana watu wanapata kichaka Cha kujificha udhaifu wao.
Mbaya zaidi katika nchi zetu Africa na Tanzania in specific wengi hawaelewi hata maana ya kutengeneza ajira ni nini, ndiyo sababu hawajui chakufanya lakini wanawaambia wenzao wajiajiri wakati wao wameajiriwa na bado wanafunga masikio hata wakielezwa hawataki kufungua akili zao waelewe tunachokisema ni kipi...Ajira zimebaki zile zile alizoanzisha mkoloni.. ndiyo sababu Sina huruma Kwa hao wafanya maamuzi ambao wanataka ku shift burden Kwa raia ilihali ni jukumu lao kutengeneza ajira na kuwatengeneza waajiriwa wawe effecient and productive; mara nyingi wao ndiyo vikwazo number moja
Hakuna anaekataa interview. Kinachokataliwa ni Ile mtu analala anaamuka na pass mark yake badala ya Ile ya 50%. Maana yake wao wanavutia upande wao, kama wapo serious basi wawasaili wote hata wale waliopata 50% na kuendelea. Sasa ukisema Mwl anaekataa usaili ilihali kapata 88% na pass mark ikawa 92% huoni huo ni upuuzi na ujinga tu. Kupotezeana muda na rasilimali fedha for nothing. Narudia Tena mkenda na wenzako ni mbwa, roho mbaya nyie lolote baya liwapate.
Jamaa ameandika kwa hasira. Ila ukweli wizara ya Elimu ina mikosi sana, mara nyingi huwa inapata mawaziri wa hovyo sana, angalia huyu aliyepo sasa.Kwani interview ina ubaya gani kama kweli mtu ni mualimu na kausomea kuna ubaya gani kupewa usaili?
Hapo sasa ndio jipu limeoza kabisaSiyo kwamba ajira zitengenezwe? Nyie watu kuweni serious!
Pamoja na kukubali interview Bado Waziri kama mmoja wa wafanya maamuzi kwenye baraza la mawaziri na kama mchumi anatakiwa kulaumiwa kwakutegenea ajira ambazo hazikutengenezwa Bali zimelazimika tu. Msitetee uzembe. Waziri wa Utumishi kasema 40% ya wafanyakazi wa serikali ni mzigo, na mmoja kati ya hao ni wao ambao wameshindwa kutengeneza ajira lakini Bado wapo ofisini wakitegemea miujiza
Interview ya nusu saa inakukosesha ajira na umekaa chuo miaka 3 secondary 4 primary 7 five na six 2 jumla miaka 16 ,anakuja mtu anakufanyisha itavyuu ya nusu saa anasema hufai Rudi nyumbani na wanaopita kwenye ni wasichana warembo tuJamaa ameandika kwa hasira. Ila ukweli wizara ya Elimu ina mikosi sana, mara nyingi huwa inapata mawaziri wa hovyo sana, angalia huyu aliyepo sasa.
Hakunaga kitu hapo ni rushwa ya ngono na pesa BasiShida walimu mlizoeaga kuajiriwa bila interview....
Hata kama nafasi ni 50 na wameapply 20,000 ni haki yao wote wafanye usaili....
Ufaulu ndiyo utakaodetermine watakaosonga mbele, kma mmeanza na written, basi oral inabidi mbaki idadi ile inayotakiwa, hivyo issue sio passmark bali idadi ya wanaotakiwa kwenda kwenye oral interview.
Ninyi walimu hiki kitu ni kigeni kwenu, lkn kwa kada zingine haya mambo ni kawaida sana toka 2015 na tulishazoea..