Sera ya faragha MIC Tanzania Public Limited Company - tiGo

Mahakama ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kuamrisha kupewa taarifa hizo za Siri tu
 
Unatania?

Kuna vitu [as a person au mteja binafsi wa kampuni], anaweza kuvipata kwenye kampuni ya simu bila shida ili mradi athibitishe yeye ndiye mwenye number ya simu husika; mfano, statement ya miamala yako ya fedha iwe Mpesa, halopesa au tigopesa au airtel money nk

Ni kinyume cha sheria mtu kutaka taarifa za siri za simu ya mtu mwingine hata kama ni mkeo, mumeo, mwanao nk isipokuwa kwa kwa sababu maalumu na kwa amri au idhini ya mahakama...

Kama walikufanyia hivyo, washitaki tayari wewe ni bilionea hapo. Watakulipa mapesa mengi sana...!!!
 
Mahakama ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kuamrisha kupewa taarifa hizo za Siri tu
Sheria unafikiri hazipo? zipo tena nzuri lakini rushwa na utawala usiofuata sheria ndio maana yote haya yanatokea
 
Nilikuwa sielewi kwa nini njia ya haja kubwa inaitwa Tigo,ila sasa nimeelewa
 
Hii mifano ndo inapotoshaga watu. Unafananishaje mkataba wa upangishaji chumba na wa kampuni inayosajiliwa rasmi nchini kwa masharti ya kimataifa? TIGO si NGO au vicoba, kuna tofauti kubwa.
Pia siamini kuwa katika hiyo TIGO kila ofisa ni msemaji rasmi wa kampuni kiasi kwamba anaweza toa taarifa za wateja kwa kupenda kwake binafsi, zaidi sana kampuni ya kigeni. Huyo mwanasheria ana hisa ngapi hapo? Mfano (extreme): Elezea jinsi ambavyo polisi anavyoweza ingia katika ofisi au nyumbani kwa balozi na silaha zake kumkamata balozi bila kutimiza itifaki tarajiwa! Kila taasisi ina itifaki tarajiwa za kimfumo au kisheria. Kwa wenye kumbukumbu huenda wakapitia staili aliyotumia Lissu kufanikisha takwa lake kuhamia huko aliko - kuruhusiwa kutumia bunduki, si leseni ya kuua usivyo vipenda ...nk, hata kama umepewa bunduki kwa mujibu wa sheria
 
Nilikuwa sielewi kwa nini njia ya haja kubwa inaitwa Tigo,ila sasa nimeelew
Hawa tiGO sasa wanatakiwa wazikane zile kauli alizotoa yule shahidi aliyejitutumua kuwa msomi wakili na kutuonyesha waTz kuwa taarifa za wateja huko haziko salama. Heri angelikaa kimya.
Wateja sasa ni juu yao kuamua kama taarifa zao zina usalama kwao huko tiGO. Very poor business ethics, to say the least
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…