Uchaguzi 2020 Sera ya majimbo itaua utaifa na uzalendo

Kwanza Embu tuambie unaelewaje ukisikia sera ya majimbo?
Majimbo ni kuigawa nchi kwenye majimbo kadhaa lengo likiwa ni kushusha madaraka kwa wananchi. Wawe na serikali zao ndogo za majimbo.

Ni uchoyo fulani na ubinafsi hata ukipambwa kwa lugha za kisomi.
 
Marekani china Japan Indian na Nchi nyingi Duniani wanatumia mfumo wa majimbo na Hakuna Tatizo lolote
 
Majimbo ni kuigawa nchi kwenye majimbo kadhaa lengo likiwa ni kushusha madaraka kwa wananchi. Wawe na serikali zao ndogo za majimbo.

Ni uchoyo fulani na ubinafsi hata ukipambwa kwa lugha za kisomi.
Embu fafanua kuigawaje??? Maana unaweza ukawa unamaanisha ni haya majimbo ya wabunge tuliyokuwa nayo

Alafu wewe unachowaza majimbo ni kuwa na serikali tu za majimbo????

Je hili la sasa wananchi kuambiwa na Raisi siwezi wajengea stand kwa sababu mmchagua bwege ni uchoyo au Sio uchoyo???
 
CCM wanaogopa majimbo kwani wanajua ni vigumu kupenyeza sera ya zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM
 
Nimesikia chama kimoja kinazungumzia nchi kuigawa kwenye majimbo ya kiutawala na uendeshaji. Kwangu mimi kwa nchi ambayo imekuwa kwenye utawala wa mikoa kwa miaka zaidi ya 50 na kwa mfumo wa kugawana mapato kupitia serikali kuu na serikali za mitaa kwa baadhi ya mapato haileti mantiki kubadili mfumo kwenda kwenye majimbo ambayo yanaweza kuua utaifa na kuleta mfarakano. Mfumo wa sasa unaondoa u-mimi na maendeleo ya uchumi yanayopishana- Regional economic imbalances - ambao utaacha baadhi ya maeneo kwenye umasikini mkubwa. Baadhi ya athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na:

1. Maeneo yenye raslimali kidogo kuendelea kuwa maskini na maeneo mengine kuwa tajiri na hivyo kuwa na mchango mdogo wa GDP

2. Ajira ndogo kwenye baadhi ya maeneo yenye raslimali chache na hivyo ongezeko la idadi ya watu kwenye maeneo yenye utajiri wa raslimali

3. kila jimbo kuwa na sheria zake za kiutawala, bunge dogo, polisi nk hali inayoweza kujenga mwelekeo wa kujitenga. Rejea matatizo yakujitenga kwa Biafra Nigeria miaka ya nyuma.

4. Nchi zenye majimbo mf Msumbiji hazina hakikisho la maendeleo endelevu kuzidi ambazo hazina utaratibu huo ie Tanzania

5. Mfumo huo utakuwa na gharama kubwa kuuanzisha

Kimsingi hadi sasa mfumo uliopo hauna shida changamoto kubwa ni kuweka mifumo mizuri ya udhibiti matumizi na mapato ya serikali kwa kuyagawa kwa haki ili kila eneo la serikali liweze kunufaika. Na hususani kuimarisha mfumo wa Halmashauri uweze kukabiliana na changamoto za kiuchumi kwa kila eneo. Iwapo kuna changamoto za mgawanyo sawia basi tupitie upya sera na sheria zetu ndani ya mfumo uliopo tuboreshe.

6. Hata hivyo, Kwa maoni yangu badala ya utawala wa majimbo ni afadhali kuweka kanda za kiuzalishaji ili kuchochea uchumi wa kimaeneo kulingana na mazingira ya kiuchumi na uzalishaji kwa kila eneo.
Kinachoongelewa na Cdm ni kuuondoa umungumutu wa Rais kwa kila jambo, hata yale yanayohusu maisha ya watu ya kila siku . Rais amekuwa mteuzi wa kila mtu hasa wale wanaohusu maisha ya watu.

Mfano sasa tupo kwenye uchaguzi lakini bado yeye ni mteuzi wa tume na mwajiri wao, huku yeye akiwa mshiriki wa uchaguzi .

Pili Rais ni mteuzi wa Mawaziri, RC, DC, DED , Judges, makamishina nk nk .
Bahati hawa wateule wamekuwa na nguvu dhidi ya viongozi wa kuchaguliwa na wananchi eg wabunge, madiwani nk . Sasa hapo mnapojiamulia mambo ya msingi kwa maendeleo ya sehemu husika lazima msubiri hisani ya Rais . Hili si zuri.
 
Nimesikia chama kimoja kinazungumzia nchi kuigawa kwenye majimbo ya kiutawala na uendeshaji. Kwangu mimi kwa nchi ambayo imekuwa kwenye utawala wa mikoa kwa miaka zaidi ya 50 na kwa mfumo wa kugawana mapato kupitia serikali kuu na serikali za mitaa kwa baadhi ya mapato haileti mantiki kubadili mfumo kwenda kwenye majimbo ambayo yanaweza kuua utaifa na kuleta mfarakano. Mfumo wa sasa unaondoa u-mimi na maendeleo ya uchumi yanayopishana- Regional economic imbalances - ambao utaacha baadhi ya maeneo kwenye umasikini mkubwa. Baadhi ya athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na:

1. Maeneo yenye raslimali kidogo kuendelea kuwa maskini na maeneo mengine kuwa tajiri na hivyo kuwa na mchango mdogo wa GDP

2. Ajira ndogo kwenye baadhi ya maeneo yenye raslimali chache na hivyo ongezeko la idadi ya watu kwenye maeneo yenye utajiri wa raslimali

3. kila jimbo kuwa na sheria zake za kiutawala, bunge dogo, polisi nk hali inayoweza kujenga mwelekeo wa kujitenga. Rejea matatizo yakujitenga kwa Biafra Nigeria miaka ya nyuma.

4. Nchi zenye majimbo mf Msumbiji hazina hakikisho la maendeleo endelevu kuzidi ambazo hazina utaratibu huo ie Tanzania

5. Mfumo huo utakuwa na gharama kubwa kuuanzisha

Kimsingi hadi sasa mfumo uliopo hauna shida changamoto kubwa ni kuweka mifumo mizuri ya udhibiti matumizi na mapato ya serikali kwa kuyagawa kwa haki ili kila eneo la serikali liweze kunufaika. Na hususani kuimarisha mfumo wa Halmashauri uweze kukabiliana na changamoto za kiuchumi kwa kila eneo. Iwapo kuna changamoto za mgawanyo sawia basi tupitie upya sera na sheria zetu ndani ya mfumo uliopo tuboreshe.

6. Hata hivyo, Kwa maoni yangu badala ya utawala wa majimbo ni afadhali kuweka kanda za kiuzalishaji ili kuchochea uchumi wa kimaeneo kulingana na mazingira ya kiuchumi na uzalishaji kwa kila eneo.

Mjinga tayari kuna mikoa na hakuna kinachoharibika. Jinga la mwisho
 
Wewe ndio huelewi unadandia manbo juu juu. Yale majeshi ya Tanzania yaliyoko Kongo nani anagharamia? Kule Somalia nani anagharamia yale majeshi ya Afrika? Au unafikiri ni suala la kuchanga majeshi tu? Africa nzima haina uwezo wa kuendesha operesheni yeyote kijeshi bila kugharimiwa na mataifa nje ya Afrika financially, logistically na kwa vifaa.

Soma vizuri hoja yangu halafu ndio ujibu.
Hoja yako hasa ni nini? UN inagharamia sawa nakubali so nachotaka kukuelewesha ni dhumuni la kuundwa AU mojawapo ni kuzilinda nchi wanachama zinapokumbwa na mzozo wa kugawa nchi vipande viwili
 
Wachaga wanataka kujitenda na Chadema yao, HAKUNA jingine. Kuna mikoa haitaki Chadema kwanini moazimishe wafate matakwa ya kaskazini?
 
Hoja yako hasa ni nini? UN inagharamia sawa nakubali so nachotaka kukuelewesha ni dhumuni la kuundwa AU mojawapo ni kuzilinda nchi wanachama zinapokumbwa na mzozo wa kugawa nchi vipande viwili
AU hawawezi kutatua hata mgogoro mdogo. Kama kweli ni mfuatiliaji wa siasa za kimataifa utakuwa unalijua hilo. Ghasia zote zinazotokea Africa bila UN au nchi za magharibi kuingilia kwa kubeba gharama huwa hazitatuliki. Rejea vurugu za nchi kama Africa ya Kati na Mali. Haijatokea tangu enzi za OAU hadi sasa AU.
 
Nimesikia chama kimoja kinazungumzia nchi kuigawa kwenye majimbo ya kiutawala na uendeshaji. Kwangu mimi kwa nchi ambayo imekuwa kwenye utawala wa mikoa kwa miaka zaidi ya 50 na kwa mfumo wa kugawana mapato kupitia serikali kuu na serikali za mitaa kwa baadhi ya mapato haileti mantiki kubadili mfumo kwenda kwenye majimbo ambayo yanaweza kuua utaifa na kuleta mfarakano. Mfumo wa sasa unaondoa u-mimi na maendeleo ya uchumi yanayopishana- Regional economic imbalances - ambao utaacha baadhi ya maeneo kwenye umasikini mkubwa. Baadhi ya athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na:

1. Maeneo yenye raslimali kidogo kuendelea kuwa maskini na maeneo mengine kuwa tajiri na hivyo kuwa na mchango mdogo wa GDP

2. Ajira ndogo kwenye baadhi ya maeneo yenye raslimali chache na hivyo ongezeko la idadi ya watu kwenye maeneo yenye utajiri wa raslimali

3. kila jimbo kuwa na sheria zake za kiutawala, bunge dogo, polisi nk hali inayoweza kujenga mwelekeo wa kujitenga. Rejea matatizo yakujitenga kwa Biafra Nigeria miaka ya nyuma.

4. Nchi zenye majimbo mf Msumbiji hazina hakikisho la maendeleo endelevu kuzidi ambazo hazina utaratibu huo ie Tanzania

5. Mfumo huo utakuwa na gharama kubwa kuuanzisha

Kimsingi hadi sasa mfumo uliopo hauna shida changamoto kubwa ni kuweka mifumo mizuri ya udhibiti matumizi na mapato ya serikali kwa kuyagawa kwa haki ili kila eneo la serikali liweze kunufaika. Na hususani kuimarisha mfumo wa Halmashauri uweze kukabiliana na changamoto za kiuchumi kwa kila eneo. Iwapo kuna changamoto za mgawanyo sawia basi tupitie upya sera na sheria zetu ndani ya mfumo uliopo tuboreshe.

6. Hata hivyo, Kwa maoni yangu badala ya utawala wa majimbo ni afadhali kuweka kanda za kiuzalishaji ili kuchochea uchumi wa kimaeneo kulingana na mazingira ya kiuchumi na uzalishaji kwa kila eneo.
Vipi yule anaesema asipochaguliwa hata leta maendeleo akidhani hela anatoa mfukoni kwake
 
22 September 2020
Karagwe, Tanzania

Tundu Lissu afafanua sera ya Majimbo inayotiliwa shaka na mgombea wa CCM John Magufuli pamoja na wanaCCM wengine ...ekari 25,000 amepewa Magufuli na DC hapa Karagwe nauliza wananchi je ni uongo au kweli? (Wananchi wanapaza Sauti kweelii), je mnaweza kumwajibisha DC kwa hili la kunyanganya wananchi ardhi ? (Sauti toka mkutanoni kwa wananchi 'hapana') Sasa sera yetu ya majimbo CHADEMA inataka kuwapa madaraka wananchi kuwachagua na pia kuwawajibisha ma DC na maRC wakifanya mambo yanayofanana na haya...(vifijo na makofi vinatoka kwa wananchi mkutanoni kupata matumaini ya kuchagua na kuwajibisha viongozi wao majimboni)
 
AU hawawezi kutatua hata mgogoro mdogo. Kama kweli ni mfuatiliaji wa siasa za kimataifa utakuwa unalijua hilo. Ghasia zote zinazotokea Africa bila UN au nchi za magharibi kuingilia kwa kubeba gharama huwa hazitatuliki. Rejea vurugu za nchi kama Africa ya Kati na Mali. Haijatokea tangu enzi za OAU hadi sasa AU.
We jamaa huna unachokifahamu unabisha kitu usichokielewa UN kuisapoti AU kibajeti haimanishi AU haiwezi kutekeleza kazi zake, so unataka kuniambia kundi la kagame linalotaka kuimega kongo, ni wanajeshi wa kizungu ndo walikuja kupambana na waasi wa kitusi?
 
Wewe ndio huelewi unadandia manbo juu juu. Yale majeshi ya Tanzania yaliyoko Kongo nani anagharamia? Kule Somalia nani anagharamia yale majeshi ya Afrika? Au unafikiri ni suala la kuchanga majeshi tu? Africa nzima haina uwezo wa kuendesha operesheni yeyote kijeshi bila kugharimiwa na mataifa nje ya Afrika financially, logistically na kwa vifaa.

Soma vizuri hoja yangu halafu ndio ujibu.
The objective of AU is to defend territorial integrity, kama hujui territorial integrity ni nini, nenda google wameidadavua. Hakuna mtu anayeweza kugawa mipaka ya nchi kirahisi rahisi na dunia ikanyamaza never, sera ya majimbo ni kurahisisha tu na namna ya utawala yaani kwa kifupi ni kugawa majukumu so msitumie nguvu kubwa kupiga proganda ya kipuuzi eti majimbo yatagawa nchi
 
Huo ni mtazamo wako na wembamba wake! Lakini ukweli ni kwamba mgawanyo nchi katika majimbo ni modification ndogo tu ya mgawanyo wa sasa wa kimikoa! Kushindwa au kufanikiwa kwa mfumo huo kunategemeana na sera, sheria na miongozo itakayotumika kuusimamia mfumo husika! Mfumo huu ndio unaotumika hata katika taifa kubwa na lililoendelea la Marekani, hatujaona hata siku moja Marekani kukitokea hizo athari ulizozibainisha! Lazima pia tutambuwe kuwa kila mfumo wa kiutawala huwa unafanikiwa au kutofanikiwa kutokana mazingira husika na uwezo binafsi wa kiongozi aliyeamua kuutumia mfumo husika! Kuna nchi zina mifumo mizuri lakini viongozi bomu!
 
Kitu kirefuuuuu lakini umejaza PUMBA TUPU! Hebu tuondolee upuuzi wako!

Back
Top Bottom