YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Issue sio kujitawala ni mapato yao wana ya kutosha mfano kagera uchumi unategemea kilimo cha ndizi hasa sasa mikungu mingapi uuze upate pesa ya kujenga barabara? Kilomita moja tu pesa zaidi ya shilingi bilioini moja hapo mikungu mingapi?Ulinganisho wa ukubwa sio issue, Logic inabakia pale pale kuwa, nchi inagawanywa katika kanda zenye mifumo ya kujitawala ndani kwa ndani ili kurahisha maendeleo ya watu badala ya kuwa na mtawala mmoja (Rais) mwenye kuamua hadi choo cha kijiji kijengwe wapi na lini.
Chadema hii sera itaumiza mikoa mingi mno kuwarudisha chini kwenye umaskini wa kufa mtu
Issue sio maamuzi bali ni kwa pesa ipi uliyonayo ya kwako ya source ya eneo lako?
Hiyo ya kuuza ndizi?