Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Majimbo ni kuigawa nchi kwenye majimbo kadhaa lengo likiwa ni kushusha madaraka kwa wananchi. Wawe na serikali zao ndogo za majimbo.Kwanza Embu tuambie unaelewaje ukisikia sera ya majimbo?
Hakuna Athari yeyote ile kwani Uingereza ina mfumo wa majimbo na ina muungano na wales Scotland Ireland na haujavunjikaMfumo wa Majimbo utakuwa na athari hasi kwa Muungano wetu tuwe makini
Marekani china Japan Indian na Nchi nyingi Duniani wanatumia mfumo wa majimbo na Hakuna Tatizo loloteMajimbo ni kuigawa nchi kwenye majimbo kadhaa lengo likiwa ni kushusha madaraka kwa wananchi. Wawe na serikali zao ndogo za majimbo.
Ni uchoyo fulani na ubinafsi hata ukipambwa kwa lugha za kisomi.
Embu fafanua kuigawaje??? Maana unaweza ukawa unamaanisha ni haya majimbo ya wabunge tuliyokuwa nayoMajimbo ni kuigawa nchi kwenye majimbo kadhaa lengo likiwa ni kushusha madaraka kwa wananchi. Wawe na serikali zao ndogo za majimbo.
Ni uchoyo fulani na ubinafsi hata ukipambwa kwa lugha za kisomi.
CCM wanaogopa majimbo kwani wanajua ni vigumu kupenyeza sera ya zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCMEmbu fafanua kuigawaje??? Maana unaweza ukawa unamaanisha ni haya majimbo ya wabunge tuliyokuwa nayo
Alafu wewe unachowaza majimbo ni kuwa na serikali tu za majimbo????
Je hili la sasa wananchi kuambiwa na Raisi siwezi wajengea stand kwa sababu mmchagua bwege ni uchoyo au Sio uchoyo???
Na kutumia vibaya hela za walipa kodi kwa maslahi yao binafsiCCM wanaogopa majimbo kwani wanajua ni vigumu kupenyeza sera ya zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM
Kinachoongelewa na Cdm ni kuuondoa umungumutu wa Rais kwa kila jambo, hata yale yanayohusu maisha ya watu ya kila siku . Rais amekuwa mteuzi wa kila mtu hasa wale wanaohusu maisha ya watu.Nimesikia chama kimoja kinazungumzia nchi kuigawa kwenye majimbo ya kiutawala na uendeshaji. Kwangu mimi kwa nchi ambayo imekuwa kwenye utawala wa mikoa kwa miaka zaidi ya 50 na kwa mfumo wa kugawana mapato kupitia serikali kuu na serikali za mitaa kwa baadhi ya mapato haileti mantiki kubadili mfumo kwenda kwenye majimbo ambayo yanaweza kuua utaifa na kuleta mfarakano. Mfumo wa sasa unaondoa u-mimi na maendeleo ya uchumi yanayopishana- Regional economic imbalances - ambao utaacha baadhi ya maeneo kwenye umasikini mkubwa. Baadhi ya athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na:
1. Maeneo yenye raslimali kidogo kuendelea kuwa maskini na maeneo mengine kuwa tajiri na hivyo kuwa na mchango mdogo wa GDP
2. Ajira ndogo kwenye baadhi ya maeneo yenye raslimali chache na hivyo ongezeko la idadi ya watu kwenye maeneo yenye utajiri wa raslimali
3. kila jimbo kuwa na sheria zake za kiutawala, bunge dogo, polisi nk hali inayoweza kujenga mwelekeo wa kujitenga. Rejea matatizo yakujitenga kwa Biafra Nigeria miaka ya nyuma.
4. Nchi zenye majimbo mf Msumbiji hazina hakikisho la maendeleo endelevu kuzidi ambazo hazina utaratibu huo ie Tanzania
5. Mfumo huo utakuwa na gharama kubwa kuuanzisha
Kimsingi hadi sasa mfumo uliopo hauna shida changamoto kubwa ni kuweka mifumo mizuri ya udhibiti matumizi na mapato ya serikali kwa kuyagawa kwa haki ili kila eneo la serikali liweze kunufaika. Na hususani kuimarisha mfumo wa Halmashauri uweze kukabiliana na changamoto za kiuchumi kwa kila eneo. Iwapo kuna changamoto za mgawanyo sawia basi tupitie upya sera na sheria zetu ndani ya mfumo uliopo tuboreshe.
6. Hata hivyo, Kwa maoni yangu badala ya utawala wa majimbo ni afadhali kuweka kanda za kiuzalishaji ili kuchochea uchumi wa kimaeneo kulingana na mazingira ya kiuchumi na uzalishaji kwa kila eneo.
Nimesikia chama kimoja kinazungumzia nchi kuigawa kwenye majimbo ya kiutawala na uendeshaji. Kwangu mimi kwa nchi ambayo imekuwa kwenye utawala wa mikoa kwa miaka zaidi ya 50 na kwa mfumo wa kugawana mapato kupitia serikali kuu na serikali za mitaa kwa baadhi ya mapato haileti mantiki kubadili mfumo kwenda kwenye majimbo ambayo yanaweza kuua utaifa na kuleta mfarakano. Mfumo wa sasa unaondoa u-mimi na maendeleo ya uchumi yanayopishana- Regional economic imbalances - ambao utaacha baadhi ya maeneo kwenye umasikini mkubwa. Baadhi ya athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na:

Hoja yako hasa ni nini? UN inagharamia sawa nakubali so nachotaka kukuelewesha ni dhumuni la kuundwa AU mojawapo ni kuzilinda nchi wanachama zinapokumbwa na mzozo wa kugawa nchi vipande viwiliWewe ndio huelewi unadandia manbo juu juu. Yale majeshi ya Tanzania yaliyoko Kongo nani anagharamia? Kule Somalia nani anagharamia yale majeshi ya Afrika? Au unafikiri ni suala la kuchanga majeshi tu? Africa nzima haina uwezo wa kuendesha operesheni yeyote kijeshi bila kugharimiwa na mataifa nje ya Afrika financially, logistically na kwa vifaa.
Soma vizuri hoja yangu halafu ndio ujibu.
Wachaga wanataka kujitenda na Chadema yao, HAKUNA jingine. Kuna mikoa haitaki Chadema kwanini moazimishe wafate matakwa ya kaskazini?Nimesikia chama kimoja kinazungumzia nchi kuigawa kwenye majimbo ya kiutawala na uendeshaji. Kwangu mimi kwa nchi ambayo imekuwa kwenye utawala wa mikoa kwa miaka zaidi ya 50 na kwa mfumo wa kugawana mapato kupitia serikali kuu na serikali za mitaa kwa baadhi ya mapato haileti mantiki kubadili mfumo kwenda kwenye majimbo ambayo yanaweza kuua utaifa na kuleta mfarakano. Mfumo wa sasa unaondoa u-mimi na maendeleo ya uchumi yanayopishana- Regional economic imbalances - ambao utaacha baadhi ya maeneo kwenye umasikini mkubwa. Baadhi ya athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na:
1. Maeneo yenye raslimali kidogo kuendelea kuwa maskini na maeneo mengine kuwa tajiri na hivyo kuwa na mchango mdogo wa GDP
2. Ajira ndogo kwenye baadhi ya maeneo yenye raslimali chache na hivyo ongezeko la idadi ya watu kwenye maeneo yenye utajiri wa raslimali
3. kila jimbo kuwa na sheria zake za kiutawala, bunge dogo, polisi nk hali inayoweza kujenga mwelekeo wa kujitenga. Rejea matatizo yakujitenga kwa Biafra Nigeria miaka ya nyuma.
4. Nchi zenye majimbo mf Msumbiji hazina hakikisho la maendeleo endelevu kuzidi ambazo hazina utaratibu huo ie Tanzania
5. Mfumo huo utakuwa na gharama kubwa kuuanzisha
Kimsingi hadi sasa mfumo uliopo hauna shida changamoto kubwa ni kuweka mifumo mizuri ya udhibiti matumizi na mapato ya serikali kwa kuyagawa kwa haki ili kila eneo la serikali liweze kunufaika. Na hususani kuimarisha mfumo wa Halmashauri uweze kukabiliana na changamoto za kiuchumi kwa kila eneo. Iwapo kuna changamoto za mgawanyo sawia basi tupitie upya sera na sheria zetu ndani ya mfumo uliopo tuboreshe.
6. Hata hivyo, Kwa maoni yangu badala ya utawala wa majimbo ni afadhali kuweka kanda za kiuzalishaji ili kuchochea uchumi wa kimaeneo kulingana na mazingira ya kiuchumi na uzalishaji kwa kila eneo.
Kule HAKUNA ukabila Wala kujitenga. Wote ni wamarekani uuku kwetu wanaotaka majimbo ni watu wa kaskazini.Kwahiyo Wamarekani hawana utaifa wala uzalendo au?
AU hawawezi kutatua hata mgogoro mdogo. Kama kweli ni mfuatiliaji wa siasa za kimataifa utakuwa unalijua hilo. Ghasia zote zinazotokea Africa bila UN au nchi za magharibi kuingilia kwa kubeba gharama huwa hazitatuliki. Rejea vurugu za nchi kama Africa ya Kati na Mali. Haijatokea tangu enzi za OAU hadi sasa AU.Hoja yako hasa ni nini? UN inagharamia sawa nakubali so nachotaka kukuelewesha ni dhumuni la kuundwa AU mojawapo ni kuzilinda nchi wanachama zinapokumbwa na mzozo wa kugawa nchi vipande viwili
Vipi yule anaesema asipochaguliwa hata leta maendeleo akidhani hela anatoa mfukoni kwakeNimesikia chama kimoja kinazungumzia nchi kuigawa kwenye majimbo ya kiutawala na uendeshaji. Kwangu mimi kwa nchi ambayo imekuwa kwenye utawala wa mikoa kwa miaka zaidi ya 50 na kwa mfumo wa kugawana mapato kupitia serikali kuu na serikali za mitaa kwa baadhi ya mapato haileti mantiki kubadili mfumo kwenda kwenye majimbo ambayo yanaweza kuua utaifa na kuleta mfarakano. Mfumo wa sasa unaondoa u-mimi na maendeleo ya uchumi yanayopishana- Regional economic imbalances - ambao utaacha baadhi ya maeneo kwenye umasikini mkubwa. Baadhi ya athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na:
1. Maeneo yenye raslimali kidogo kuendelea kuwa maskini na maeneo mengine kuwa tajiri na hivyo kuwa na mchango mdogo wa GDP
2. Ajira ndogo kwenye baadhi ya maeneo yenye raslimali chache na hivyo ongezeko la idadi ya watu kwenye maeneo yenye utajiri wa raslimali
3. kila jimbo kuwa na sheria zake za kiutawala, bunge dogo, polisi nk hali inayoweza kujenga mwelekeo wa kujitenga. Rejea matatizo yakujitenga kwa Biafra Nigeria miaka ya nyuma.
4. Nchi zenye majimbo mf Msumbiji hazina hakikisho la maendeleo endelevu kuzidi ambazo hazina utaratibu huo ie Tanzania
5. Mfumo huo utakuwa na gharama kubwa kuuanzisha
Kimsingi hadi sasa mfumo uliopo hauna shida changamoto kubwa ni kuweka mifumo mizuri ya udhibiti matumizi na mapato ya serikali kwa kuyagawa kwa haki ili kila eneo la serikali liweze kunufaika. Na hususani kuimarisha mfumo wa Halmashauri uweze kukabiliana na changamoto za kiuchumi kwa kila eneo. Iwapo kuna changamoto za mgawanyo sawia basi tupitie upya sera na sheria zetu ndani ya mfumo uliopo tuboreshe.
6. Hata hivyo, Kwa maoni yangu badala ya utawala wa majimbo ni afadhali kuweka kanda za kiuzalishaji ili kuchochea uchumi wa kimaeneo kulingana na mazingira ya kiuchumi na uzalishaji kwa kila eneo.
We jamaa huna unachokifahamu unabisha kitu usichokielewa UN kuisapoti AU kibajeti haimanishi AU haiwezi kutekeleza kazi zake, so unataka kuniambia kundi la kagame linalotaka kuimega kongo, ni wanajeshi wa kizungu ndo walikuja kupambana na waasi wa kitusi?AU hawawezi kutatua hata mgogoro mdogo. Kama kweli ni mfuatiliaji wa siasa za kimataifa utakuwa unalijua hilo. Ghasia zote zinazotokea Africa bila UN au nchi za magharibi kuingilia kwa kubeba gharama huwa hazitatuliki. Rejea vurugu za nchi kama Africa ya Kati na Mali. Haijatokea tangu enzi za OAU hadi sasa AU.
The objective of AU is to defend territorial integrity, kama hujui territorial integrity ni nini, nenda google wameidadavua. Hakuna mtu anayeweza kugawa mipaka ya nchi kirahisi rahisi na dunia ikanyamaza never, sera ya majimbo ni kurahisisha tu na namna ya utawala yaani kwa kifupi ni kugawa majukumu so msitumie nguvu kubwa kupiga proganda ya kipuuzi eti majimbo yatagawa nchiWewe ndio huelewi unadandia manbo juu juu. Yale majeshi ya Tanzania yaliyoko Kongo nani anagharamia? Kule Somalia nani anagharamia yale majeshi ya Afrika? Au unafikiri ni suala la kuchanga majeshi tu? Africa nzima haina uwezo wa kuendesha operesheni yeyote kijeshi bila kugharimiwa na mataifa nje ya Afrika financially, logistically na kwa vifaa.