Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu
CHADEMA imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania
Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya CHADEMA
Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi
Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, Gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo
Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira Morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua
Pia kiuchumi mfano kama wewe unatoka Singida Mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa Kusini
Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila CHADEMA wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo CHADEMA itashinda Uchaguzi
Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya CHADEMA na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura CHADEMA
Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na CHADEMA zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria
Tunaishukuru CCM kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe
Kwa heri CHADEMA, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu