Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Ni vizuri ungetumia muda huu kujiuliza Kwa nini Wazanzibar walikuwa wanaondoka uwanjani leo wakati Magufuli wenu anahutubia kuliko kupiga propaganda uchwara kwenye Sera bora za CHADEMA ambazo watanzania wengi kwa pamoja tumezikubali na kuzipitisha!!
 
Hakuna mtu aliyeondoka huo ni uzushi wa Chadema
Sera za majimbo ni za ukabila zinapendwa na Mabeberu tu
Ni vizuri ungetumia muda huu kujiuliza Kwa nini Wazanzibar walikuwa wanaondoka uwanjani leo wakati Magufuli wenu anahutubia kuliko kupiga propaganda uchwara kwenye Sera bora za Chadema ambazo watanzania wengi kwa pamoja tumezikubali na kuzipitisha!!
 
Hakuna mtu aliyeondoka huo ni uzushi wa Chadema
Sera za majimbo ni za ukabila zinapendwa na Mabeberu tu
Uzushi wakati Kuna ushahidi wa video???

Au wewe mfuasi wa Gwajima nini ambae hadi leo unaamini ile video yake live akila tunda imetengenezwa???😂😂😂😂
 
Video za kutengeneza ndio zinakuzuzua?
Uzushi wakati Kuna ushahidi wa video???

Au wewe mfuasi wa Gwajima nini ambae hadi leo unaamini ile video yake live akila tunda imetengenezwa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili vijana wa Chadema wanaogopa kuliongelea ila hawalipendi?

Kwanini tubaguliwe kwa majimbo yetu ? Chadema huu ubaguzi hautawaacha salama
sera hiyo watakaoumia wengi ni watu wa kilimanjaro sababu kule kuna uhaba wa ardhi wa kufa mtu ukiwapiga lock down ya sera ya majimbo wao ndio watakuwa wa kwanza kukiona cha mtema kuni watachinjana kugombea ardhi.Muaji ya kimbari yatatokea

sasa hivi hayatokei sababu waweza enda popote tanzania wakapata ardhi,ajira ,fursa mbalimbali nk

Hiyo sera ya majimbo wa kwanza wanaotakiwa wasiwape kura CHADEMA ni WATU WA KILIMANJARO .CCM ndio inawapa ardhi ,fursa nk popote Tanzania majimbo ya CHADEMA yakija itakuwa kwa heri ya kuonana
 
Vijana wa Chadema wametiwa upofu
Ila bahati nzuri Chadema haitatawala hi Nchi
sera hiyo watakaoumia wengi ni watu wa kilimanjaro sababu kule kuna uhaba wa ardhi wa kufa mtu ukiwapiga lock down ya sera ya majimbo wao ndio watakuwa wa kwanza kukiona cha mtema kuni watachinjana kugombea ardhi.Muaji ya kimbari yatatokea

sasa hivi hayatokei sababu waweza enda popote tanzania wakapata ardhi,ajira ,fursa mbalimbali nk
 
kila nikisikia hii sera nawaza ubaguz tunaoneda kuwapa mikoa mfano kondoa kwa vile wao hawana rasilimal basi wabakie masikin miaka yao yote. mashindwe kabisa haya mapipoz
Wale wanaokunywa matope vipi? Sera za majimbo ndio ziliwabagaza?
 
Sera za majimbo anaezishabikia ni mtu ambae naweza sema hana uelewa au ana mahaba ya kupitiliza na CDM.

Angalia Marekani kuna majimbo ambayo tangia Marekani iumbwe majimbo hayo ni masikini chanzo ni hizo sera za majimbo

Lakini ikianzishwa sera ya majimbo, hiyo kanda ya kati itajiendesha kwa mapato ya alizeti na ubuyu?
 
Lissu ndio amesawababishia wanywe matope kwa kuwakataza wasichangie maendeleo
Wale wanaokunywa matope vipi? Wale mnaosema wasipochagua mataga hamuwapelekei maendeleo vipi?
 
Hata Mimi siungi mkono mambo ya kuanza kuwagawa watanzania
 
Hoja zako za kipumbavu hizo haziwezi kumshawishi mtu yeyote labda awe na akili ndogo kuliko hii ya kwako.

Hoja ya majimbo ni hoja mujarabu ambayo hata womanizer wenu anayetaka kuoa mke wa pili Zanzibar anaikubali na ni tishio kwake.
 
Back
Top Bottom