Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa anasema katokea MbeyaHuyo anne anatokea kwenye mkoa ambao ni ngome ya ccm, usitegemee ataweza ku reason vizuri
Fresh start kwa kutaka kuigawa nchi?Hakuna neutrality katika maslahi ya taifa letu Anne. Wameshindwa kuboresha maisha yetu for 50+ years... We need a fresh start fresh mind.
Wee jamaa ni kichaa kabisa yaaniWakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu
Chadema imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania
Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya Chadema
Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi
Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo
Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua
Pia kiuchumi Mfano kama wewe unatoka singida mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa kusini
Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila Chadema wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo Chadema itashinda Uchaguzi
Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya Chadema na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura Ccm
Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na Chadema zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria
Tunaishukuru Ccm kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe
Kwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu
Sasa ulimuamini huyo anayefanya assumptions za nilipotokea??[emoji1787]Nashangaa anasema katokea Mbeya
Hahaha nilishasema there is no such a thing like neutrality nafurahi umeniunga mkono.. Dunia nzima hakuna nature ya utawala kama TZ wa maRc na maDc chaguo la rais... Sera ya majimbo inapinga maendeleo ya mikoa na wilaya kutegemea serikali kuu! Hiyo sera yenu ya ubaguzi mnaitoa wapi?Fresh start kwa kutaka kuigawa nchi?
Akheri tutawaliwe tu na CCM kuliko kutawaliwa na Upinzani wenye akili za kihuni namna hiyo
Na kwa sera hiyo wallah nakuambia Urais watausikia redioni.
Umeninukuu vibaya pia... Mbeya haipo gizaniSasa ulimuamini huyo anayefanya assumptions za nilipotokea??[emoji1787]
Kwani mtu ukikaa Mbeya ni lazima ufwate Mkumbo kwenye kila kitu???
Mimi nipo Mbeya na sera hiyo siiungi mkono na Kama wapinzani wataendelea kuishikilia basi kura yangu wameikosa.
Kwa vyovyote vile iwavyo mimi siiungi mkonoHahaha nilishasema there is no such a thing like neutrality nafurahi umeniunga mkono.. Dunia nzima hakuna nature ya utawala kama TZ wa maRc na maDc chaguo la rais... Sera ya majimbo inapinga maendeleo ya mikoa na wilaya kutegemea serikali kuu! Hiyo sera yenu ya ubaguzi mnaitoa wapi?
Tupo kwenye mwanga na najua ulichomaanisha.Umeninukuu vibaya pia... Mbeya haipo gizani
We're opposing iniquity nothing more nothing less... Hoja ya ubaguzi ni uvivu wa kuchambua mambo ama ushabiki tu wa mfumoKwa vyovyote vile iwavyo mimi siiungi mkono
Lopokwa? Kama ulimaanisha kuropoka kuna waropokaji wazuri zaidi ya mataga? Mnanywesha watu matope for half a century now!Tupo kwenye mwanga na najua ulichomaanisha.
Ni kweli Mbeya chadema imetapakaa lakini bado si sababu ya sisi kuunga mkono kila linalolopokwa na wapinzani
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu
Chadema imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania
Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya Chadema
Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi
Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo
Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua
Pia kiuchumi Mfano kama wewe unatoka singida mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa kusini
Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila Chadema wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo Chadema itashinda Uchaguzi
Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya Chadema na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura Ccm
Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na Chadema zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria
Tunaishukuru Ccm kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe
Kwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu
Maumivu mnayaugulia ndani kwa ndani... Muulize Mahera[emoji23][emoji23]Hatuna kazi zaidi ya kumhurumia tu lissu
Tunamhurumia kama Mtanzania mwenzetu ila sio kumpatia kura[emoji3][emoji3]
Akili yangu ni ileile na huwa nasimama katika haki bila kushabikia chama chochote
Udhaifu wa CCM isiwe sababu ya kuikubali hii sera ya kibaguzi
Wachaga wepi ambao unatumia inclusive terms kuwasemea? Miaka na miaka kabla hata ya uhuru walipropose issue ya wao kujitegemea!Umenena vyema. Wachaga wengi niliozungumza nao wanakerwa na sera hii. Itaanza kuwaumiza wao zaidi kabla ya kuumiza wengine. Ni sera ya hovyo sana. Duniani kote hakuna sera ya majimbo inayoamuliwa na chama kimoja. Hili ni suala kubwa ambalo ni lazima maoni ya wananchi yatafutwe kupitia kura ya maoni (referendum ). Inashangaza Chadema inajitangazia tu suala hili kana kwamba nchi hii na watanzania wote ni mali yao. Huku ni kudharau haki za wananchi za kufanya maamuzi makubwa yanayowahusu. Halafu chama cha aina hiyo kinadai kinatetea haki. Watanzania wameidharau na tumeamua kuendelea na JPM
sera ya majimbo issue sio tu kujichagulia wawakilishi tu!! hilo swala dogo issue ni kuzuia movement of people kutoka sehemu moja kwenda ingine kukaba fursa za wenyeji wa jimbo lingine.Kila mtu fursa azitafute jimboni kwake ziwe ajira,ardhi nk wa kuumia sera hii ikianza wa kwanza watakuwa wachaga wa pili watakuwa wapemba wao ndio wazurura majimbo ya wengine kwenda kukaba fursa za ardhi,biashara ,ajira nk
Vipi mkuu umakuonea wivu mwanmke mwenzio toka Zenji kuolewa na JPM?Hoja zako za kipumbavu hizo haziwezi kumshawishi mtu yeyote labda awe na akili ndogo kuliko hii ya kwako.
Hoja ya majimbo ni hoja mujarabu ambayo hata womanizer wenu anayetaka kuoa mke wa pili Zanzibar anaikubali na ni tishio kwake.
Majimboism is the way to the devolution of the governance structure of the country where the grassroots will have the power to make decisions in a bottom up approach...many people in this country are stupid and this is the reason why there is enormous amount of poverty, ignorance and underdevelopment and majimboism is the only way to go.Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu