FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Kweli kichwa chako ni fridgeLissu ndio amesawababishia wanywe matope kwa kuwakataza wasichangie maendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kichwa chako ni fridgeLissu ndio amesawababishia wanywe matope kwa kuwakataza wasichangie maendeleo
Khe! Au umeuza account?Hata Mimi siungi mkono mambo ya kuanza kuwagawa watanzania
Sera za majimbo anaezishabikia ni mtu ambae naweza sema hana uelewa au ana mahaba ya kupitiliza na CDM.
Angalia marikani kuna majimbo ambayo tangia marekani iumbwe majimbo hayo ni masikini chanzo ni hizo sera za majimbo
Lakini ikianzishwa sera ya majimbo, hiyo kanda ya kati itajiendesha kwa mapato ya alizeti na ubuyu?
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu
Chadema imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania
Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya Chadema
Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi
Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo
Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua
Pia kiuchumi Mfano kama wewe unatoka singida mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa kusini
Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila Chadema wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo Chadema itashinda Uchaguzi
Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya Chadema na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura Ccm
Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na Chadema zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria
Tunaishukuru Ccm kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe
Kwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu
Nimuuzie nani??Khe! Au umeuza account?
KwakweliSerikali za majimbo zaweza fafanuliwa vizuri na mfumo wa majimbo waq CHINA .Kila raia anakuwa na kitambulisho kinachoitwa HUKOU hicho ni kama kitambulisho cha jimbo la Kwenu kwa wazazi wako yaani place of origin ya ukoo wako.Ukitaka kwenda jimbo lingine unatakiwa kuwa na visa.Hii ikija KILIMANJARO wajiandae maumivu na kurudi kwao kama wanaishi majimbo mengine ambako sio koo zao zilikozaliwa.Hii sera ya majimbo ni mauaji kwa CHADEMA hii hapa kwa kirefu
China introduced the hukou system in 1958 – a hukou book was assigned to each household to classify the resident’s hukou by their place of origin. The practice continues.
The hukou system categorizes each Chinese citizen as either an agricultural (rural) hukou holder or a non-agricultural (urban) hukou holder.
Rural hukou are usually assigned to residents who live in towns and villages; urban hukou are usually for those who live in larger cities – each type of hukou enjoys different and specific rights.
As a legal document that is attached to one’s household registration, the hukou is also inherited. For example, if the parents hold an agricultural hukou – all their descendants would also hold a rural hukou.
With respect to rights and entitlements, those holding rural hukou are distributed arable land for their livelihood while urban hukou holders have access to government jobs, subsidized housing, education, and healthcare.
The entitlements of urban hukou holders, however, vary in different Chinese cities, such as those offered in megacities versus smaller cities.
Chinese citizens can also transfer their hukou in certain circumstances, such as during study and work.
University students are allowed to transfer their hukou to the city of their university, though it will expire after their graduation.
Migrant workers can be granted an urban hukou as long as they fulfill certain criteria. This includes level of educational qualification, technical expertise, entrepreneurship etc. The process is more complicated in larger cities where the labor market is highly competitive.
Why should employers care?
In a free market, employers are rarely concerned with a candidate’s location – beyond the practicality of interviewing the candidate, any relocation expenses they may seek, as well as any difficulties in adjusting to a new location.
Employers and candidates in China often face bureaucratic challenges through the hukou system as it can sometimes be seen to undermine worker mobility.
Corporate recruiters in China also have difficulties in attracting and retaining skilled workers because of these reasons.
However, new governmental reforms and compensation policies by respective companies seek to resolve these challenges when hiring for elite roles in China. We discuss some of these below.
Compensation policies by Chinese companies
Assistance to their employees in obtaining urban hukou and the offer of social welfare are key ways Chinese companies are able to recruit elite candidates.
Employers, who provide necessary documents for household registration, are responsible for an employee’s hukou conversion. Some companies have a legal team to help workers in the conversion process, while others even pay the fee of hukou conversion on behalf of their employees.
In return, such companies are able to extend the contract length and retain their skilled workers for a longer term. For those workers who want to keep their rural hukou, companies offer social welfare in compensation.
A recent study finds that only one-fifth migrant workers are interested in converting their rural hukou to urban hukou, as they are unwilling to give up their rural land – valuations having increased sharply in recent years.
Still, companies can attract this group of skilled workers by offering indirect benefits. For instance, the housing fund, insurance, healthcare, and transport subsidies can all be on the list.
Hukou talent incentive
China’s municipal governments have now been granted greater autonomy in deciding quota and eligibility criteria for hukou conversion.
Yet, megacities continue to control their population size and have strict criteria in place for granting a hukou.
Beijing, Shanghai, Guangzhou, and Shenzhen have adopted a point-based system to vet applicants. For example, employment type, property ownership, education, and innovation achievements are all factors for those who apply to get a Beijing hukou
Mnahangaika sana.safari hii.Chadema mshauri wenu wa chama ni nani Mbona aliwaingiza choo cha kike
Watanzania ni slow tu hawaelewi hata majimbo ni nini? Yaani mnataka kutuaminisha wananchi hawataki kuchagua viongozi wao wenyewe kutok maeneo yao badala yake wapende huu mfumo wa viongozi kutokuwa na upendo na sehemu na kuomba tranfer kila siku. Mfumo wa sasa hauna maslahi kwa wananchi. Wabunge ni waakilishi tu lakini wangeweka viongozi ambao wanauwezo wa kupeka pesa sehemu mihimu sasa kuna upendeleo sana.
Nakujua una sharp mind... Mikoa mingi iliyokithiri umasikini mingi majimbo yake yapo chini ya ccm! Je, nini kimewadidimiza? Unaposea majimbo yanawagawa waTz nashindwa kuelewa ilihali sasa hivi wanaambiwa bila mataga marufuku maendeleo!Nimuuzie nani??
Wewe unaunga mkono hiyo sera?
Kazi mnayo this time aroundLissu ni wa kuhurumiwa tu
Huyo anne anatokea kwenye mkoa ambao ni ngome ya ccm, usitegemee ataweza ku reason vizuriNakujua una sharp mind... Mikoa mingi iliyokithiri umasikini mingi majimbo yake yapo chini ya ccm! Je, nini kimewadidimiza? Unaposea majimbo yanawagawa waTz nashindwa kuelewa ilihali sasa hivi wanaambiwa bila mataga marufuku maendeleo!
Ni gongoHiyo bia yenu ni bia gani?
Akili yangu ni ileile na huwa nasimama katika haki bila kushabikia chama chochoteNakujua una sharp mind... Mikoa mingi iliyokithiri umasikini mingi majimbo yake yapo chini ya ccm! Je, nini kimewadidimiza? Unaposea majimbo yanawagawa waTz nashindwa kuelewa ilihali sasa hivi wanaambiwa bila mataga marufuku maendeleo!
Pole SanaHuyo anne anatokea kwenye mkoa ambao ni ngome ya ccm, usitegemee ataweza ku reason vizuri
sera ya majimbo issue sio tu kujichagulia wawakilishi tu!! hilo swala dogo issue ni kuzuia movement of people kutoka sehemu moja kwenda ingine kukaba fursa za wenyeji wa jimbo lingine.Kila mtu fursa azitafute jimboni kwake ziwe ajira,ardhi nk wa kuumia sera hii ikianza wa kwanza watakuwa wachaga wa pili watakuwa wapemba wao ndio wazurura majimbo ya wengine kwenda kukaba fursa za ardhi,biashara ,ajira nkWatanzania ni slow tu hawaelewi hata majimbo ni nini? Yaani mnataka kutuaminisha wananchi hawataki kuchagua viongozi wao wenyewe kutok maeneo yao badala yake wapende huu mfumo wa viongozi kutokuwa na upendo na sehemu na kuomba tranfer kila siku. Mfumo wa sasa hauna maslahi kwa wananchi. Wabunge ni waakilishi tu lakini wangeweka viongozi ambao wanauwezo wa kupeka pesa sehemu mihimu sasa kuna upendeleo sana.
Kusoma Udom kumekuathiri kisaikolojia mpendwaPole Sana
Endelea kupiga ramli zako.
Kwa kukusaidia tu Mimi nipo Mbeya na ndiko ninakotokea.
Dodoma sikufuata siasa.Kusoma Udom kumekuathiri kisaikolojia mpendwa
Hakuna neutrality katika maslahi ya taifa letu Anne. Wameshindwa kuboresha maisha yetu for 50+ years... We need a fresh start fresh mind.Akili yangu ni ileile na huwa nasimama katika haki bila kushabikia chama chochote
Udhaifu wa CCM isiwe sababu ya kuikubali hii sera ya kibaguzi