Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Lopokwa? Kama ulimaanisha kuropoka kuna waropokaji wazuri zaidi ya mataga? Mnanywesha watu matope for half a century now!
Mimi si mwanachama wa chama chochote

Kwahiyo watoke waropokaji waingie tena waropokaji?
Yawezekana ni kweli kabisa watu wameichoka CCM lakini kwa akili za wapinzani wallah watu wanaona Bora tu ibaki CCM hiyohiyo
 
We're opposing iniquity nothing more nothing less... Hoja ya ubaguzi ni uvivu wa kuchambua mambo ama ushabiki tu wa mfumo
Mimi sishabikii chochote.
Huo muda wa kushabikia Mimi Sina
Ila hiyo sera Mimi siikubali.
Hata ingeletwa na CCM bado ningeipinga.
Watanzania ni wamoja
 
Huo ubaguzi mnaotumiwa na Mabeberu kutugawa ili muwarahisishie kutuibia rasmali zetu msahau

Aliyewatuma waambieni Tanzania hsitawezekana
Hahaha nilishasema there is no such a thing like neutrality nafurahi umeniunga mkono.. Dunia nzima hakuna nature ya utawala kama TZ wa maRc na maDc chaguo la rais... Sera ya majimbo inapinga maendeleo ya mikoa na wilaya kutegemea serikali kuu! Hiyo sera yenu ya ubaguzi mnaitoa wapi?
 
Ndio hivyo kiongozi Chadema wanataka watugawe kwa makabila yetu
Sera ya majimbo place of origin ni ulikotokea ukoo wako ndiko kwenu kizazi chote hata vitukuu vyako watakaozaliwa miaka hamsini ijayo watapewa kitambulisho cha jimbo la ukoo wako.Sasa ulikotokea ukoo wako si ndiko kabila lako liliko?

Chadema hawajielewi uko sahihi
 
Mimi si mwanachama wa chama chochote

Kwahiyo watoke waropokaji waingie tena waropokaji?
Yawezekana ni kweli kabisa watu wameichoka CCM lakini kwa akili za wapinzani wallah watu wanaona Bora tu ibaki CCM hiyohiyo
Huwezi kosa affiliations hapa unanizuga tu...
 
Chadema ni wahuni, Watanzania hatutakubali Chadema watugawe

Hawa wahuni tunawazika October
Tupo kwenye mwanga na najua ulichomaanisha.
Ni kweli Mbeya chadema imetapakaa lakini bado si sababu ya sisi kuunga mkono kila linalolopokwa na wapinzani
 
Huo ubaguzi mnaotumiwa na Mabeberu kutugawa ili muwarahisishie kutuibia rasmali zetu msahau

Aliyewatuma waambieni Tanzania hsitawezekana
Sera ya ubaguzi na mabeberu ambao ndio wanatibia na kuwaendeleza endeleeni kudiscuss hapo lumumba... Nyie hamfai hata kwa punje kuongoza watu... Mnaifanya nchi kubehave kama familia!
 
Wachaga wepi ambao unatumia inclusive terms kuwasemea? Miaka na miaka kabla hata ya uhuru walipropose issue ya wao kujitegemea!

Kwa hiyo Mbowe anataka kuilete tena ili wajitenge. Haitawezekana ndugu yangu. Chadema imeonesha dharua kubwa sana kwa watanzania. Tutaiadhibu vibaya kwenye kura siyo tu ya Rais bali hata wabunge na madiwani
 
Hahahha dharau ya kunywesha watu matope? Dharu ya kusema siwapi maendelo msiponichagua?
 
Na ukiangalia Nchi nyingi ambazo zinatumia mfumo wa majimbo zinaubaguzi wa hali ya juu, angalia canada Nchi iliuoendelea lkn kuna ubaguzi sana kutoka jimbo moja kwenda lingine

Angalia Nigerian ukabila na udini umetawala sababu ya sera za majimbo
Umenena vyema. Wachaga wengi niliozungumza nao wanakerwa na sera hii. Itaanza kuwaumiza wao zaidi kabla ya kuumiza wengine. Ni sera ya hovyo sana. Duniani kote hakuna sera ya majimbo inayoamuliwa na chama kimoja. Hili ni suala kubwa ambalo ni lazima maoni ya wananchi yatafutwe kupitia kura ya maoni (referendum ). Inashangaza Chadema inajitangazia tu suala hili kana kwamba nchi hii na watanzania wote ni mali yao. Huku ni kudharau haki za wananchi za kufanya maamuzi makubwa yanayowahusu. Halafu chama cha aina hiyo kinadai kinatetea haki. Watanzania wameidharau na tumeamua kuendelea na JPM
 
Kwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu
You had the same dream since 2016....keep on dreaming till you wet your mattress
 
Mkuu tunamhurumia lissu amepita mitihani mingi ila kwenye kura atatusamehe labda apigiwe na robert
Maumivu mnayaugulia ndani kwa ndani... Muulize Mahera[emoji23][emoji23]
 
Unajua kuwa 50% ya wachaga hawaishi Kilimanjaro ?
Wamesambaa mikoani
Wachaga wepi ambao unatumia inclusive terms kuwasemea? Miaka na miaka kabla hata ya uhuru walipropose issue ya wao kujitegemea!
 
Back
Top Bottom