Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi si mwanachama wa chama chochoteLopokwa? Kama ulimaanisha kuropoka kuna waropokaji wazuri zaidi ya mataga? Mnanywesha watu matope for half a century now!
Mimi sishabikii chochote.We're opposing iniquity nothing more nothing less... Hoja ya ubaguzi ni uvivu wa kuchambua mambo ama ushabiki tu wa mfumo
Hahaha nilishasema there is no such a thing like neutrality nafurahi umeniunga mkono.. Dunia nzima hakuna nature ya utawala kama TZ wa maRc na maDc chaguo la rais... Sera ya majimbo inapinga maendeleo ya mikoa na wilaya kutegemea serikali kuu! Hiyo sera yenu ya ubaguzi mnaitoa wapi?
Sera ya majimbo place of origin ni ulikotokea ukoo wako ndiko kwenu kizazi chote hata vitukuu vyako watakaozaliwa miaka hamsini ijayo watapewa kitambulisho cha jimbo la ukoo wako.Sasa ulikotokea ukoo wako si ndiko kabila lako liliko?Ndio hivyo kiongozi Chadema wanataka watugawe kwa makabila yetu
Huwezi kosa affiliations hapa unanizuga tu...Mimi si mwanachama wa chama chochote
Kwahiyo watoke waropokaji waingie tena waropokaji?
Yawezekana ni kweli kabisa watu wameichoka CCM lakini kwa akili za wapinzani wallah watu wanaona Bora tu ibaki CCM hiyohiyo
Tupo kwenye mwanga na najua ulichomaanisha.
Ni kweli Mbeya chadema imetapakaa lakini bado si sababu ya sisi kuunga mkono kila linalolopokwa na wapinzani
Sera ya ubaguzi na mabeberu ambao ndio wanatibia na kuwaendeleza endeleeni kudiscuss hapo lumumba... Nyie hamfai hata kwa punje kuongoza watu... Mnaifanya nchi kubehave kama familia!Huo ubaguzi mnaotumiwa na Mabeberu kutugawa ili muwarahisishie kutuibia rasmali zetu msahau
Aliyewatuma waambieni Tanzania hsitawezekana
Wachaga wepi ambao unatumia inclusive terms kuwasemea? Miaka na miaka kabla hata ya uhuru walipropose issue ya wao kujitegemea!
Hahaha mlisema hawatakuwepo kufika 2020 sasa sjui now mnaongelea wepi haoChadema ni wahuni, Watanzania hatutakubali Chadema watugawe
Hawa wahuni tunawazika October
Cheap opinionsHamieni ubeligiji ndio kuna ubaguzi kama huo
Hahahha dharau ya kunywesha watu matope? Dharu ya kusema siwapi maendelo msiponichagua?Kwa hiyo Mbowe anataka kuilete tena ili wajitenge. Haitawezekana ndugu yangu. Chadema imeonesha dharua kubwa sana kwa watanzania. Tutaiadhibu vibaya kwenye kura siyo tu ya Rais bali hata wabunge na madiwani
Sasa Mbona unaanza kunisemea?Huwezi kosa affiliations hapa unanizuga tu...
Umenena vyema. Wachaga wengi niliozungumza nao wanakerwa na sera hii. Itaanza kuwaumiza wao zaidi kabla ya kuumiza wengine. Ni sera ya hovyo sana. Duniani kote hakuna sera ya majimbo inayoamuliwa na chama kimoja. Hili ni suala kubwa ambalo ni lazima maoni ya wananchi yatafutwe kupitia kura ya maoni (referendum ). Inashangaza Chadema inajitangazia tu suala hili kana kwamba nchi hii na watanzania wote ni mali yao. Huku ni kudharau haki za wananchi za kufanya maamuzi makubwa yanayowahusu. Halafu chama cha aina hiyo kinadai kinatetea haki. Watanzania wameidharau na tumeamua kuendelea na JPM
Ni haki yako kuamua nani akapambane upate maji safi na afya boraSasa Mbona unaanza kunisemea?
Mimi mwenyewe ndio nakwambia Sasa..Sina chama mimi.
You had the same dream since 2016....keep on dreaming till you wet your mattressKwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu