Chadema wanachotaka kufanya ni kuendelea kuwaletea shida watu wa kilimanjaro.Kabla ya ujio wa Chadema walikuwa wako vizuri sana sasa kinataka kuleta shida ya majimbo huku kikijua kabisa kwenye sera ya majimbo wazawa ndio wamiliki wakuu wa raslimali zote na fursa.Chadema wanajua kabisa kilimanjaro kuna uhaba wa ardhi na fursa za kazi na biashara na watu kilimanjaro ndio wanufaika wakubwa wa huu mfumo wa serikali moja sababu waweza kwenda jimbo lolote wakapata kazi,ardhi .fursa za kibiashara nk wakati chini ya mfumo wa majimbo hilo hamna kama wamesoma hata vipi waende kwao jimboni kwao wakatafute kazi huko ,ardhi huko na fursa za biashara huko
CHADEMA ni pepo lililotumwa na shetani kuja kuumiza watu wa kilimanjaro.Watu wa kilimanjaro msipolikataa hili pepo sanduku la kura na kulikemea litoke kwa Jina la Yesu litawamaliza.Mnaliona linaingia part two ya kuwamaliza kwa kutaka serikali za majimbo!! mwenye macho haambiwa tazama.Pepo Chadema hilo hapo kazi kwenu.