Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Mkuu humu lissu hatakiwi kusemwa vibaya, ukimsema vibaya unatandikiwa ban
 
Ndio maana yake Mkuu maana yake kama kuna jimbo lina uhaba wa raslimali ndio hivyo mtajifia kwa umasikini na kwenda jimbo lingine ni kama unahama Nchi
kila nikisikia hii sera nawaza ubaguz tunaoneda kuwapa mikoa mfano kondoa kwa vile wao hawana rasilimal basi wabakie masikin miaka yao yote. mashindwe kabisa haya mapipoz
 
Watu wenye majina ya ovyo mnaongea Mambo ya ovyo ovyo.
 
kwanza sipendi majimbo yataleta shida. Watatokea hao ndio magavana mmoja atasema mbona sisi tuna dhahabu yetu nyingi na hao kuna shida ya hiki ya hiki.

Kwa nini pesa iende nje? kikao chao sijui mameya wanapitisha azimio nyumban kwanza.

Kinachofata majimbo mengineyo nayo yatasema mbona sisi Samaki wetu ,hawa nao hivo hivo. Sera ya majimbo haifai labda kwa vile inasemekana kuna ni maagizo

Nimekwazika sana
 
Yani hapa ndipo ilipofeli naona wanataka kutuletea ukabila na udini hapa miongoni mwetu wananchi wa Tanzania.
 
Hili vijana wa Chadema wanaogopa kuliongelea ila hawalipendi?

Kwanini tubaguliwe kwa majimbo yetu ? Chadema huu ubaguzi hautawaacha salama
Yani hapa ndipo ilipofeli naona wanataka kutuletea ukabila na udini hapa miongoni mwetu wananchi wa Tanzania.
 
Kama mnajiamini kweli basi wekeni ulingo wa mapambano uliowazi, nasio kutaka watu wapigane na huku mwingine kafungwa kamba mkononi na mwingine mikono yake haijafungwa kamba.

Hakuna kipindi ambacho mmekuwa waoga kama uchaguzi huu, halafu mnafanya vitu vya uonevu wa wazi wazi wakati mlikuwa mnadai mnapendwa na wananchi na mmefanya mambo mengi ya maendeleo.

Mwambie mgombea wenu aache uoga, ushujaa wa mwanaume kushinda vita ni kupambana kwa jitihada zako sio kubebwa bebwa kwa wazi kabisa hata mtoto mdogo anaelewa
Tutakutana tarehe 28.labda nikuulize swali unapimaje hayo maneno yako kwa vitendo??
 
Chadema wameingia kwenye mtego wa Wazungu wa kuivuruga Nchi yetu ila kamwe hawataweza
kwanza sipend Majimbo yataleta shida.watatokea hao ndio magavana mmoja atasema mbona sisi tuna dhahabu yetu nyung na haoa kuna shida ya hiki ya hiki.kwa nini pesa iende nje? kikao chao sijui mameya wanapitisha azimio nyumban kwanza.Kinachofata majimbo mengineyo nayo yatasema mbona sisi Samaki wetu ,hawa nao hivo hivo. Sera ya majimbo Haifai labda kwa vile hue da inasemekana kuna maagizo
nimekwazika sana
 
Nipo kwenye kampeni ya kitanda kwa kitanda, Wananchi wamechukia sana hii sera ya Chadema ya majimbo kwani italeta ukabila na udini
Tutakutana tarehe 28.labda nikuulize swali unapimaje hayo maneno yako kwa vitendo??
 
Jamii forums imevamiwa na wapumbavu .eti serikali ya majimbo itagawa watu
 
Back
Top Bottom