Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Chadema limekuwa tambara la Wazungu kuharibu Nchi yetu na kuiba raslimali zetu
Shida yao n Mihemko wakikwaza na wake zao basi povu lote wanalimalizia jukwaani polen sana wana CDM wote.
 
elimu ni ukombozi
 
Rubbish.... There is no such a thing... Someni ile ilani muilewe pia tumieni sample ya nchi tofauti tofauti wanaoutumia mfumo huo! Mimi nina ndugu Kenya mbona hakurudishwa kwao kisa si mzawa wa jimbo analofanyia kazi? Achen paradox zenu.
Mifumo ya majimbo nchi nyingi ilianzishwa baada ya wananchi wa nchi husika kutwangana wenyewe kwa wenyewe yaani CIVIL WAR .Kenya ni mojawapo ambapo walitwangana chupa,fimbo na mapanga nk barabara hasa kwa ukabila wao.

Ndipo wakaja na mfumo wa majimbo kuwa kila jogoo awike kwake isiwe kesi .Jaluo awike sana kwake na kikuyu awike sana kwake nk

Nigeria hivyo hivyo walitwangana barabara wakafikia tugawane

Afrika ya kusini hivyo hivyo wao kwa wao walitwangana kisawawa sio wakagawana majimbo ya wazungu na waafrika tu bali kwa makabila kabisa kila kabila liwike kwao

India pia,china pia,uingereza pia,Ujerumani pia,Ubelgiji pia ,Marekani,Canada,Urusi nk wote hao walitwangana vita za ndani za uhakika za kumwaga damu wakaamua kugawana nchi kwa majimbo,Yalianzishwa kama solution ya kumaliza vita yaani civil war

Kenya bado kuna issues kibao zinalalamikiwa pamoja na uwepo majimbo
 
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ukisoma sera za majimbo za Chadema utatoa machozi
Hii sera Chadema wanapanga kutugawa kwa makabila yetu na dini zetu ili wawarahishie Mabeberu waliowatuma kutuibia rasmali zetu
Wewe ni certified kilaza!!! Huoni aibu unavyozidi kujidhalilisha humu??? Nani kakwambia sera ya majimbo inagawa watu kimakabila???!

Ona aibu unazidi kufanya Chama chaji kidharauliwe zaidi humu
 
Anayetugawa ni lissu anayelipwa mabilion na Mabeberu ili awasaidie kuiba raslimali zetu
 
Chadema wamefeli hii sera ya majimbo itawatokea puani

Mabeberu yamewaingiza choo cha kike ili yatugawe
Kamwe hawataweza
Endelea kujidhalilisha na kukidhalilisha Chama chako kwa ujinga wako uliotukuka!!!
 
Anayetugawa ni lissu anayelipwa mabilion na Mabeberu ili awasaidie kuiba raslimali zetu
Hivi huwa mnajua mnaandika ili wajinga na wasiojitambua wasome ?Tafadhali niheshimu na uandike kitu ambacho mtu mzima mwenye elimu nitakuelewa,nilindie heshima yangu kwa hilo!
 
Mkuu ni hatari ukisoma sera za majimbo za Chadema zinalenga kutugawa kwa kabila na dini zetu

Hii sera imeingizwa na Wazungu kupitia Chadema ili waweze kutugawa na kuiba raslimali zetu

Agent wa Mabeberu ni Chadema
Wewe ni certified kilaza!!! Huoni aibu unavyozidi kujidhalilisha humu??? Nani kakwambia sera ya majimbo inagawa watu kimakabila???!

Ona aibu unazidi kufanya Chama chaji kidharauliwe zaidi humu
 
Ujerumani walipigana vita gani??? India walipigana vita gani??? Canada walipigana vita gani???

Endeleeni tu kuhudhiliihishia umma ni kwa jinsi gani huko CCM mlivyojaa wajinga
 
Mkuu ni hatari ukisoma sera za majimbo za Chadema zinalenga kutugawa kwa kabila na dini zetu

Hii sera imeingizwa na Wazungu kupitia Chadema ili waweze kutugawa na kuiba raslimali zetu

Agent wa Mabeberu ni Chadema
Zinalenga kutugawa kivipi??? Embu fafanua????
 
Hii sera ya majimbo iliasisiwa ubeligiji wakimtumia lissu

Lengo kubwa ni kuigawa Tanzania vipande vipande ili iwe rahisi kutuibia rasmali zetu

Ndio unaona lissu amepewa mawakili Mabeberu ili awe anamshauri jinsi ya kutugawa kidini na kikabila
Endelea kujidhalilisha na kukidhalilisha Chama chako kwa ujinga wako uliotukuka!!!
 
Ndio sera ya majimbo ya Chadema ipo hivyo

Kama Wewe unatoka Kilimanjaro huu mfumo ukianza unarudishwa kwenu

Na kama wewe ni mzaliwa wa mbeya hurusiwi kuajiriwa nje ya mbeya

Chadema wanataka walivuruge Taifa letu
Wapi duniani kwenye Sera ya majimbo mtu unarudishwa kwenu??? Wapi kimefanyika hicho????


Acha kuleta ujinga wako humu kwenye jukwaa la great thinkers. Kama hujaielewa sera ya majimbo sema uelimishwe!!
 
Hii sera ya majimbo iliasisiwa ubeligiji wakimtumia lissu

Lengo kubwa ni kuigawa Tanzania vipande vipande ili iwe rahisi kutuibia rasmali zetu

Ndio unaona lissu amepewa mawakili Mabeberu ili awe anamshauri jinsi ya kutugawa kidini na kikabila
Wapi sera ya majimbo imeigawa nchi vipande vipande???
Ujerumani imegawanywa vipande vipande??? Marekani imegawanywa vipande vipande???? Canada imegawanywa vipande vipande?????

Huo ujinga wenu mnaofundishana huko Lumumba bakini nao huko huko!!
 
Jimbo moja kwenda jimbo lingine itakuwa sawa na Nchi moja kwenda Nchi nyingine

Hapa Mabeberu yaliwaingiza Chadema choo cha kike

Unajua ukiangalia Nchi kama ubeligiji ambayo ni ndogo km mkoa njombe imegawanywa katika majimbo ila kuna ubaguzi Wa hali ya juu

Wanachofanya Mabeberu ni kupitisha sera kupitia Chadema ili baadae waanze kutugawa kupitia majimbo yetu

Wewe kama ni mchaga hurusiwi kutoka Kilimanjaro kwenda Arusha mpaka ufuate sheria za uhamiaji
Zinalenga kutugawa kivipi??? Embu fafanua????
 
Wapi kinafanyika hicho???? Cha jimbo moja kwenda jimbo lingine inakuwa ni kama nchi moja kwenda nyingine??? We jamaa ni mzima kweli kichwani?????

Ubelgiji Kuna ubaguzi gani????

Ama kweli CCM mmejaaa wapumbavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wameapa kutoipigia kura Ccm, hapo una maana gani Mataga?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 

Kwahiyo wewe unataka tuendelee na huu utawala uliodumu karibia miaka 60 viongozi wakiwa wanachezea kodi na rasilimali za nchi kwa ufisadi kama vile hizo rasilimali hazina wenyewe.

Sera ya majimbo ndiyo jibu la ufumbuzi wa tatizo la umasikini wa nchi yetu, hivi inawezekanaje nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania kuwa katika orodha ya nchi masikini sana duniani halafu tuendelee na hizo sera za kumuachia mtu mmoja maamuzi ya rasilimali zetu zote, kwanini yeye ni Mungu halafu halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote.

Majimbo ndiyo njia pekee ya kutukomboa kiuchumi, tatizo watu kudhania mikoa ndiyo majimbo ati miko mingine haina rasilimali sa kutosha sasa kama mikoa siyo majimbo hiyo hoja inakuwaje na nafasi.

Hivi European Union mtu akitaka kwenda kufanya kazi nchi Jirani kuna uthibiti gani tena zile ni nchi tofauti lakini watu wako huru kufanya kazi popote, halafu mtu mjinga kama wewe unakuja na hoja za kijinga ati watu hawataruhusiwa kutoka jimbo moja kwenda lingine, pumbavu kabisa wewe jaribu kusoma sera na kuielewe siyo unaandika mihemko yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…