Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
elimu ni ukomboziWakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu
Chadema imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania
Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya Chadema
Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi
Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo
Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua
Pia kiuchumi Mfano kama wewe unatoka singida mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa kusini
Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila Chadema wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo Chadema itashinda Uchaguzi
Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya Chadema na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura Ccm
Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na Chadema zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria
Tunaishukuru Ccm kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe
Kwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu
Mifumo ya majimbo nchi nyingi ilianzishwa baada ya wananchi wa nchi husika kutwangana wenyewe kwa wenyewe yaani CIVIL WAR .Kenya ni mojawapo ambapo walitwangana chupa,fimbo na mapanga nk barabara hasa kwa ukabila wao.Rubbish.... There is no such a thing... Someni ile ilani muilewe pia tumieni sample ya nchi tofauti tofauti wanaoutumia mfumo huo! Mimi nina ndugu Kenya mbona hakurudishwa kwao kisa si mzawa wa jimbo analofanyia kazi? Achen paradox zenu.
[emoji706][emoji706][emoji706]Mifumo ya majimbo nchi nyingi ilianzishwa baada ya wananchi wa nchi husika kutwangana wenyewe kwa wenyewe yaani CIVIL WAR .Kenya ni mojawapo ambapo walitwangana chupa,fimbo na mapanga barabara hasa kwa ukabila wao.Ndio wakaja na mfumo wa majimbo kuwa kila jogoo awike kwake isiwe kesi .Jaluo awike sana kwake na kikuyu awike sana kwake nk
Nigeria hivyo hivyo walitwangana barabara wakafikia tugawane
Afrika ya kusini hivyo hivyo wao kwa wao walitwangana kisawawa sio wakagawana majimbo ya wazungu na waafrika tu bali kwa makabila kabisa kila kabila liwike kwao
India pia,china pia,uingereza pia,Ujerumani pia,Ubelgiji pia ,Marekani,Canada,Urusi nk wote hao walitwangana vita za ndani za uhakika za kumwaga damu wakaamua kugawana nchi kwa majimbo,Yalianzishwa kama solution ya kumaliza vita yaani civil war
Kenya bado kuna issues kibao zinalalamikiwa pamoja na uwepo majimbo
Wewe ni certified kilaza!!! Huoni aibu unavyozidi kujidhalilisha humu??? Nani kakwambia sera ya majimbo inagawa watu kimakabila???!Ukisoma sera za majimbo za Chadema utatoa machozi
Hii sera Chadema wanapanga kutugawa kwa makabila yetu na dini zetu ili wawarahishie Mabeberu waliowatuma kutuibia rasmali zetu
Ndio maana nasema kuna mstari mwembamba kati ya kuwa kada wa CCM na ujinga!
Hamuoni mambo yanayotugawa watanzania?Hamuoni leo akipatwa na majanga wa Chama A watu wa chama B wanalipuka kwa furaha and vise versa?Hamjui chanzo ni nini?Hamuoni tumeshagawanyika?Hamumsikii mgombea wenu anavyowatisha wananchi kama wasipochagua mafiga matatu?Hamuoni wapinzani wanavyobambikiziwa kesi,kutekwa,kutesa na hata kuuwawa?
Halafu linakuja popoma eti sera ya majimbo italigawa taifa,shwaini kabisa!
Endelea kujidhalilisha na kukidhalilisha Chama chako kwa ujinga wako uliotukuka!!!Chadema wamefeli hii sera ya majimbo itawatokea puani
Mabeberu yamewaingiza choo cha kike ili yatugawe
Kamwe hawataweza
Kapewa shilingi ngapi na lini???Anayetugawa ni lissu anayelipwa mabilion na Mabeberu ili awasaidie kuiba raslimali zetu
Hivi huwa mnajua mnaandika ili wajinga na wasiojitambua wasome ?Tafadhali niheshimu na uandike kitu ambacho mtu mzima mwenye elimu nitakuelewa,nilindie heshima yangu kwa hilo!Anayetugawa ni lissu anayelipwa mabilion na Mabeberu ili awasaidie kuiba raslimali zetu
Wewe ni certified kilaza!!! Huoni aibu unavyozidi kujidhalilisha humu??? Nani kakwambia sera ya majimbo inagawa watu kimakabila???!
Ona aibu unazidi kufanya Chama chaji kidharauliwe zaidi humu
Ujerumani walipigana vita gani??? India walipigana vita gani??? Canada walipigana vita gani???Mifumo ya majimbo nchi nyingi ilianzishwa baada ya wananchi wa nchi husika kutwangana wenyewe kwa wenyewe yaani CIVIL WAR .Kenya ni mojawapo ambapo walitwangana chupa,fimbo na mapanga nk barabara hasa kwa ukabila wao.
Ndipo wakaja na mfumo wa majimbo kuwa kila jogoo awike kwake isiwe kesi .Jaluo awike sana kwake na kikuyu awike sana kwake nk
Nigeria hivyo hivyo walitwangana barabara wakafikia tugawane
Afrika ya kusini hivyo hivyo wao kwa wao walitwangana kisawawa sio wakagawana majimbo ya wazungu na waafrika tu bali kwa makabila kabisa kila kabila liwike kwao
India pia,china pia,uingereza pia,Ujerumani pia,Ubelgiji pia ,Marekani,Canada,Urusi nk wote hao walitwangana vita za ndani za uhakika za kumwaga damu wakaamua kugawana nchi kwa majimbo,Yalianzishwa kama solution ya kumaliza vita yaani civil war
Kenya bado kuna issues kibao zinalalamikiwa pamoja na uwepo majimbo
Zinalenga kutugawa kivipi??? Embu fafanua????Mkuu ni hatari ukisoma sera za majimbo za Chadema zinalenga kutugawa kwa kabila na dini zetu
Hii sera imeingizwa na Wazungu kupitia Chadema ili waweze kutugawa na kuiba raslimali zetu
Agent wa Mabeberu ni Chadema
Endelea kujidhalilisha na kukidhalilisha Chama chako kwa ujinga wako uliotukuka!!!
Wapi duniani kwenye Sera ya majimbo mtu unarudishwa kwenu??? Wapi kimefanyika hicho????Ndio sera ya majimbo ya Chadema ipo hivyo
Kama Wewe unatoka Kilimanjaro huu mfumo ukianza unarudishwa kwenu
Na kama wewe ni mzaliwa wa mbeya hurusiwi kuajiriwa nje ya mbeya
Chadema wanataka walivuruge Taifa letu
Wapi sera ya majimbo imeigawa nchi vipande vipande???Hii sera ya majimbo iliasisiwa ubeligiji wakimtumia lissu
Lengo kubwa ni kuigawa Tanzania vipande vipande ili iwe rahisi kutuibia rasmali zetu
Ndio unaona lissu amepewa mawakili Mabeberu ili awe anamshauri jinsi ya kutugawa kidini na kikabila
Zinalenga kutugawa kivipi??? Embu fafanua????
Wapi kinafanyika hicho???? Cha jimbo moja kwenda jimbo lingine inakuwa ni kama nchi moja kwenda nyingine??? We jamaa ni mzima kweli kichwani?????Jimbo moja kwenda jimbo lingine itakuwa sawa na Nchi moja kwenda Nchi nyingine
Hapa Mabeberu yaliwaingiza Chadema choo cha kike
Unajua ukiangalia Nchi kama ubeligiji ambayo ni ndogo km mkoa njombe imegawanywa katika majimbo ila kuna ubaguzi Wa hali ya juu
Wanachofanya Mabeberu ni kupitisha sera kupitia Chadema ili baadae waanze kutugawa kupitia majimbo yetu
Wewe kama ni mchaga hurusiwi kutoka Kilimanjaro kwenda Arusha mpaka ufuate sheria za uhamiaji
Wameapa kutoipigia kura Ccm, hapo una maana gani Mataga?Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu
Chadema imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania
Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya Chadema
Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi
Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo
Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua
Pia kiuchumi Mfano kama wewe unatoka singida mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa kusini
Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila Chadema wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo Chadema itashinda Uchaguzi
Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya Chadema na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura Ccm
Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na Chadema zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria
Tunaishukuru Ccm kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe
Kwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu