Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini

Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati

Naamini miaka mitano ijayo Rais Magufuli ataitupeleka uchumi wa juu

Nyie mnaotaka kuleta ukabila na udini kupitia majimbo hamieni ubeligiji
Kwahiyo wewe unataka tuendelee na huu utawala uliodumu karibia miaka 60 viongozi wakiwa wanachezea kodi na rasilimali za nchi kwa ufisadi kama vile hizo rasilimali hazina wenyewe.

Sera ya majimbo ndiyo jibu la ufumbuzi wa tatizo la umasikini wa nchi yetu, hivi inawezekanaje nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania kuwa katika orodha ya nchi masikini sana duniani halafu tuendelee na hizo sera za kumuachia mtu mmoja maamuzi ya rasilimali zetu zote, kwanini yeye ni Mungu halafu halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote.

Majimbo ndiyo njia pekee ya kutukomboa kiuchumi, tatizo watu kudhania mikoa ndiyo majimbo ati miko mingine haina rasilimali sa kutosha sasa kama mikoa siyo majimbo hiyo hoja inakuwaje na nafasi.

Hivi European Union mtu akitaka kwenda kufanya kazi nchi Jirani kuna uthibiti gani tena zile ni nchi tofauti lakini watu wako huru kufanya kazi popote, halafu mtu mjinga kama wewe unakuja na hoja za kijinga ati watu hawataruhusiwa kutoka jimbo moja kwenda lingine, pumbavu kabisa wewe jaribu kusoma sera na kuielewe siyo unaandika mihemko yako
 
Ubelgiji Kuna ubaguzi gani????
Angalia Ubelgiji ilivyo majimbo yake yamegawanywa kikabila tena kwenye katiba kabisa ya nchi Angalia kwenye red nilimo underline

Belgium is a federal state made up of communities and regions." The first article of the Belgian constitution begins with this sentence. In other words, in Belgium, decision-making powers are not centralised but are distributed among the following entities:

1. the federal state
2.the three communities: the French Community, the Flemish Community and the German-speaking Community
3. the three regions: the Walloon Region, the Flemish Region, and the Brussels-Capital Region

The three communities are defined along linguistic and cultural lines.
 
Angalia Ubelgiji ilivyo majimbo yake yamegawanywa kikabila tena kwenye katiba kabisa ya nchi Anfgalia kwenye red nilimo underline

Belgium is a federal state made up of communities and regions." The first article of the Belgian constitution begins with this sentence. In other words, in Belgium, decision-making powers are not centralised but are distributed among the following entities:

1. the federal state
2.the three communities: the French Community, the Flemish Community and the German-speaking Community
3. the three regions: the Walloon Region, the Flemish Region, and the Brussels-Capital Region

The three communities are defined along linguistic and cultural lines.
Huo mgawanyo mbona ni wa kawaida!! Kuna shida gani???
Nani kasema wamebaguana???? Wapi wamesema mtu wa jimbo moja hawezi kuishi jimbo lingine??? Wapi wamesema mtu wa jimbo moja hawezi kuwekeza au kumiliki Mali kwenye jimbo lingine??? Wapi wamesema kutoka jimbo moja kwenda lingine unaitaji visa????!

CCM ni vilaza aisee sijawai ona😂😂😂
 
Na si tu Magufuli ameipeleka Tanzania uchumi wa kati bali pia ameipa hadhi yakuwa miongoni mwa nchi za kisasa.Hao chadema washakufiiiin bado kuzikwa tu.
 
Huo mgawanyo mbona ni wa kawaida!! Kuna shida gani???
Nani kasema wamebaguana???? Wapi wamesema mtu wa jimbo moja hawezi kuishi jimbo lingine??? Wapi wamesema mtu wa jimbo moja hawezi kuwekeza au kumiliki Mali kwenye jimbo lingine??? Wapi wamesema kutoka jimbo moja kwenda lingine unaitaji visa????!

CCM ni vilaza aisee sijawai ona😂😂😂
ulisema kule Ubelgijji hakuna ubaguzi nikakupa hilo wanabaguana kimajimbo kwa lugha na ukabila ubelgiji sio Tanzania unakuja unaruka ruka hapa!!!

Hilo hoja lenu la majimbo limewadodea
 
Jamani ngoja tu niseme hivi chadema na ushoga kuna mtu anaweza akawamini kweli mana wamejidhihirisha wazi kwamba wao wana kubali mambo hayo.
 
ulisema kule Ubelgijji hakuna ubaguzi nikakupa hilo wanabaguana kimajimbo kwa lugha na ukabila ubelgiji sio Tanzania unakuja unaruka ruka hapa!!!

Hilo hoja lenu la majimbo limewadodea
Kwani kugawa sehemu kwa mfumo wa watu wanaoongea lugha moja ndo ubaguzi???? We kilaza kweli aisee

Nimekuuliza hayo maswali hapo yenye kuthibitisha ubaguzi. Nijibu hayo kuthibitisha kama Ubelgiji Kuna ubaguzi

Nani kasema wamebaguana???? Wapi wamesema mtu wa jimbo moja hawezi kuishi jimbo lingine??? Wapi wamesema mtu wa jimbo moja hawezi kuwekeza au kumiliki Mali kwenye jimbo lingine??? Wapi wamesema kutoka jimbo moja kwenda lingine unaitaji visa????!

Kama maeneo kugawiwa kwa misingi ya lugha Mbona hata kwenye mikoa ya Tanzania ni hivyo hivyo??? Shinyanga Mbona ni Mkoa wa wasukuma na wanaongea kisukuma??? Rukwa Mbona ni Mkoa wa wafipa wanaoongea kifipa??? Iringa Mbona ni mkoa wa Wahehe wanaoongea kihehe???? Kwa iyo na Tanzania nako kuna ubaguzi kwenye mfumo wa mikoa???!!

CCM mmeishiwa hoja sasa mmeamua kuleta ujinga wenu humu ila mjue tu mnazidi kujidhalilisha!!! Watanzania wa leo sio wa jana 😂😂
 
Kwani kugawa sehemu kwa mfumo wa watu wanaoongea lugha moja ndo ubaguzi???? We kilaza kweli aisee

Nimekuuliza hayo maswali hapo yenye kuthibitisha ubaguzi. Nijibu hayo kuthibitisha kama Ubelgiji Kuna ubaguzi
Upo mfano ukiwa ubelgiji unatoka jimbo linaloongea kifaransa huwezi kwenda kupata kazi jimbo linaloongea kijerumani and vise versa kwa sababu ya tatizo la lugha

Ukienda CANADA tatizo hilo hilo kuna canada ya kiingereza na canada ya kifaransa .Mzunguza kifaransa wa nchi hiyo hiyo hawezi pata kazi kwenda kufanya kazi canada jimbo la kiingereza in the same country!!!

Ubelgiji ubaguzi upo sana tu ndani ya nchi moja kwenye ajira!! hilo eneo moja tu yako kibao sina muda kuweka yote hapa
 
Mwaka huu atajuta kumpa lissu apeperushe bendera ya Chadema maana hata wabunge wawili hana uhakika
Mwenye chama Mbowe,mshauri Mbowe, mtunza pesa Mbowe. Hakuna Chadema bila Mbowe.
 
Upo mfano unatoka jimbo linaloongea kifaransa huwezi kwenda kupata kazi jimbo linaloongea kijerumani and vise versa kwa sababu ya tatizo la lugha

Ukienda CANADA tatizo hilo hilo kuna canada ya kiingereza na canada ya kifaransa .Mzunguza kifaransa wa nchi hiyo hiyo hawezi pata kazi kwenda kufanya kazi canada jimbo la kiingereza in the same country!!!

Ubelgiji ubaguzi upo sana tu ndani ya nchi moja kwenye ajira!! hilo eneo moja tu yako kibao sina muda kuweka yote hapa
Lete ushahidi wa hayo unayosema kilaza mkubwa wewe!!!
Weka ushahidi wa hao watu wanaozungumza kifaransa kukosa kazi maeneo wanayozungumza kijerumani kwa sababu wanabaguliwa
 
Tetea hoja hapo ndo utaoneka unatumia ubongo vizur

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Kwa iyo wewe unakubali ujinga huu wa wana lumumba wenzako kuwa kwenye sera za majimbo unaitaji visa kutoka jimbo moja hadi jingine????!

Unakubali ujinga wao huu kuwa kwenye sera ya majimbo mtu wa jimbo moja hawezi kuwekeza kwenye jimbo lingine???

Hili ni jukwaa la great thinkers. Mtu akiongea utopolo lazima apewe makavu maana huku sio facebook kwa vilaza!!
 
Wapi kinafanyika hicho???? Cha jimbo moja kwenda jimbo lingine inakuwa ni kama nchi moja kwenda nyingine??? We jamaa ni mzima kweli kichwani?????

Ubelgiji Kuna ubaguzi gani????

Ama kweli CCM mmejaaa wapumbavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu mzima hujuwi kutejenga hoja, pumbavuu kabsa

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom